Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Sio majani huyu ni Kajala ndo anaemharibu mwanawe!P mtata sanaa ndo maana dogo kakimbia kwa mdingi anakaa na mama ake toka atoke jela...Kajala kashachelewa kwenye malezi ni zero na dogo hatosoma tenaa!Swahiba wangu Majani huyu bint sijui kamleaje juzi nilikutana na mtoto wa Master J wako lika moja tu na huyu binti ila ni kisu na anaonekana kapitia malezi safi.