Penzi la zamani

Nikisikiaga story za barua za mapenzi moyo unapata ganzi, niliwahi kuchezea stiki zisizo na idadi kisa barua, kile kichapo sijawahi kukisahau...boya kabisa huyu bro wangu sijui alinichapia nini [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Ulikuwa wivu tu
 

Alikuwa na wivu huyo[emoji23]
 

Alikupa desa hutalisahau katika makuzi yako[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…