Penzi la Zari na Diamond lipo ICU

Vijana wa kitanzania fanyeni kazi, kuna maisha baada ya Diamond na ufuska wake. Msipo angalia Mkapa atakuja tena hadharani kuwatukana, shauri zenu....fanyeni kazi jamani.....huyo domo na ufuska wake hauwahusu hata kidogo.
 
Hahahaha kama Diamond kamla huyo mrembo basi huyo Domo ni kiboko aisee..

Yaani amevuka mipaka sasa anachakaza vitu imported, safi aendelee kuliwakilisha taifa vizuri
Hata Zari si Imported
 
Ila alisema hamna wa kumwibia Mume , dai ni wake haendi popote
 
Mimi nasubiri mapicha na mavideo wakiwa wanazini, nadhani safari hii tutapata free porn video .
Ila mapenzi daah, dai akishafanya ujinga ujinga anaenda kuomba msamaha na zari ili kukomoa watu atapiga picha kila tukio halafu anatuwekea[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ningekua diamond nakandamiza uko nje, awa viumbe sio wa kua naye mmoja ni pasua,...Demu akupelekeshe ili iweje,akiweka ugoko unaweka chuma kimya kimya,
 
ila wanaume wa Tanzania ni wahuni sana na washamba wa mapenzi na papuchi.wanamuziki wengi tena mastaa wana wanawake ila sio kwa trend ya huyu dogo. diamond anapenda ngono balaa.
Nguvu ya papuchi achana nayo.

Kama papuchi zinakuja kwenye njia yako, wewe ni nani hadi uzikatae?

Tafuna tu hamna namna.

Mimi mwenyewe nina mke but juzi kati beki tatu iliniletea papuchi yake na nikaitafuna bila wasi wasi.

Yaani papuchi ni tamu acha tu. Haikinaishi dadadeq.
 
Zari katoka kununua mgari mpya wiki hii kuna wabongo wengine wamewehuka.. Wema ndie alimuacha Diamond akatoke na mzee anayempa pesa.. na alitangaza na mashabiki walitangaza na kusherekea... nashangaa wanamsingizia Zari kama vile aliingilia.
Mapenzi ya watu na life la watu watu tunalikomalia.

Well, hata hivyo ni njia nzuri ya kupitisha wakati
 
mimi hapa sijawahi kucheat
 
Alafu mtu unamlaumu diamond kwa kula mtoto mkali namna hii?

Acha ale bana. Hakuna namna

Ni mwanamume gani mwenye jeuri ya kuikataa papuchi ya huyu mrembo?
ic kitu mnaaaaaa balaaaaa ale tu kijana hizo pesa anazitafuta kwa shida sana
 
Ha ha! ha!. Tena si kwa vidole! Kwa mwendo huu, visoda vitahusika; visoda vikiisha, vijiti viongezwe then kokoto!!
Hahahahahaha mkuu umenichekesha sana.. Sasahivi ana import inamaana wa kibongo ashawamaliza..
 
Vijana wa kitanzania fanyeni kazi, kuna maisha baada ya Diamond na ufuska wake. Msipo angalia Mkapa atakuja tena hadharani kuwatukana, shauri zenu....fanyeni kazi jamani.....huyo domo na ufuska wake hauwahusu hata kidogo.
[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…