Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Mkuu asante kwa kunifungulia hii code nilikuwa najiuliza hii misuli ya mkono si amshauri mume wake aende gym woiii kumbe misuli ya kichwa cha chini


hamna, ni ile mishipa ya kwenye mikono, nimeona manesi wanaidatia sana 😂
 
Kweli kabisa sasa sijui imekuaje au alikua anajaribu kucheat aone kuna radha gani si unajua wanawake mnavyopenda kujaribu jaribu,
Kajaribu kachanganyikiwa me kwakweli sitamani atengane na mume wake atulize akili awe karibu na mume wake atamzoea na kumpenda kama mwanzoni akae afikirie watoto tu aachane na swala la kutengana vyumba
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Haya mkuje hapa wale wanawake wanaosemaga kuwa marriage is not a out sex🤣🤣🤣🤣 stupid!
 
Cheat na mzee mwenzio mkikutana mnaongelea ada na ujenzi hata mapenzi yanakuwa hayapo. Hao msingi kiuno utasahau familia na kubaki kuowanisha utamu.
[emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza
 
Short and clear ni kwamba umelogwa na kijana,keshakuendea kwa mganga.
Vijana siku hizi wanaloga tuu wakishajua kuna kamserereko kwenye mama yoyote.
Yaani unakamuliwa mwili,K na pesa hao ndo vijana wa kizazi cha Internet 😉
Wahi fasta kategue huo mtego kabla hujateza hao 4, maana inaonekana kakutwanga unasahau mpaka watoto.
 
Back
Top Bottom