Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Kwangu unastahili kila aina adhabu ya dunia na usipokuwa makini utakuja na msg ya majuto dunia utaiona mbaya
 
Huyu mwanadada/mwanamama anahitaji msaada, nashangaa sana watu wanaleta mzaha.. Kila binadamu hukosea. Atleast ndugu umeandika kitu.
 


Kweli kabisa kazi ya shetani ni kuua, kuchinja na kuharibu.
 
[emoji23] kumbe ila bora libaki hilihili kwahiyo kubadili mwisho mara 10 maana utakuwa umeshafikia au kuipita
🀣🀣🀣🀣🀣
Hata sijui! Mie nimeshangaa naambiwa ni mara ya mwisho πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata sijui! Mie nimeshangaa naambiwa ni mara ya mwisho [emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23] tuache utani auntie umejua kubadili bwana ila yote bora atoto limerudi
 
Nataka kusema Jambo nahisi wewe Ni mke wangu but we had only one kid kazi ikatuforce kuwa appart kwa muda I saw those mentioned behaviors and with eyewtnes nikakuta hicho unachokisema! Vijana wanaokataa ndoa Sasa Ni kwa sababu wameshazini na wanandoa!
It was hard for me but I couldnt change my mind and so she couldnt. Inatesa, inatafuna na inauma
Tena Omba asijue Mana akijua you are inn for it!
 
Ukiona mwanaume au mwanamke anasex nje ya ndoa halafu Hana haya anasimulia kama hivi hajawahi kuheshimu ndoa yake , mume wake na familia just imagine mwanamke kama huyu yupo na wanaume wadogo unadhani ni huyu tu hapana hata wengine uliolewa yanini .

Unaomba kabisa ushauri kweli Dunia ya Leo inamambo unaliwa na kijana Kwa Raha mbaya sana
 
Ndugu mwandishi, pole sana na hongera kwa hatua ya kutaka msaada. Wote wanaokukejeli hakuna mkamilifu hata mmoja.
Mimi ni mbaba nisiye na ndoa, ila kutokana na mijongeo na hitilafu za hapa na pale ililazimu nifanye mapenzi nje ya babe wangu... Hakika yaliyokutokea ndiyo yaliyokuwa yananitokea. Feelings zote sinapotea.

Suluhisho kwako siyo talaka.. Ukishakuwa na watoto kipaumbele chako siyo ubolo tena ndugu, ni malezi na makuzi ya watoto. Ukiniambia nikupe suluhisho nitakwambia uache kazi... Nenda kalee familia. Ukikaa mwaka ndani ya nyumba usionane na vijana wenye mishipa ya damu, nyege zikikujaa, taratibu utaanza kuona utamu wa ubolo wa mme wako.

Mwaka utakaoona upo tayari kuzungumza na daktari inperson kuhusu hili, inbox yangu ipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…