Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Jamani mapenzi ya kijana yamemchanganya mtu hukuuu!!!

Counselling inahitajika ili umuondoe kijana kwenye nafasi ya mumeo uliyomuweka.

Jaribu pia kumwambia mumeo baadhi ya vitu ambavyo 'kijana' huwa anakufanyia ili ikusaidie kuvuta hisia na tendo lifanyike vizuri.
 
Emoj ni kwambie kitu hakuna dawa ya hicho unachohitaji ushauri ila kama kweli unajutia hiyo hali fanya yafuatayo.
Nakumbuka mumeo alikuruhusu kwa moyo wote kwenda kufanya kazi mkoani ndiyo ukakutana na boss wako huu ambaye amekuchanganya ili kutibu hili fanya maamuzi magumu ya kuacha hiyo kazi uwe karibu na familia yako regardless ya unalipwa kiasi gani Acha hiyo kazi.

Kingine nikwambie siku ukicheat na mwanaume mwingine tofauti na kijana tambua hali hii unayoiona kwa mumeo utaiona kwa kijana wako pia wa sasa. Ndivyo wanawake walivyo mkishafanya mapenzi na mwanaume mwingi yule wa siku zote anapotezewa thamani yake na huwezi kuwa na hamu naye tena. It is nature wala siyo uchawi , Kumbuka mwanamke hadi acheat ni process ndefu, yaani anakuwa ameshaona ulinganifu wa madhaifu ya pande mbili kwa hiyo anapoenda kutombwa kule anakuwa na picha fulani anayoitaka akikuta ile picha ndivyo ilivyo basi nyuma harudi.

Kwa hiyo mpendwa the best solutions regardless nikuwa mbali na huyo kijana wako lakini as long as bado mnafanya kazi wote tena mbali na familia yako expect tukio kubwa , kumbuka mliachana baada ya wewe kumwambia kuwa una watoto wanne na ni mke wa mtu kwa hiyo kurudi kwake kuna bonge la tukio ambalo anataka kukupiga na hilo ndiyo litakuwa fundisho kwako.

Kwa hiyo think twice and acha hiyo kazi rudi kwa familia yako
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Cha kukusaidia, mwambie ulimchiti ili akuache, kwasababu utakuja kumuua kwa sumu au magonjwa. Kinachitokea ni kuwa, mwanamke akichiti, upendo wote unahamia kwa mwanaume mpya, mwanamke anatoa K kwasababu amependa, ila mwanaume anafanya sex kwasababu ametamani.
Mwanamke akichiti ni hatari, anaweza kumuua mumewe kwaajili ya mwanaume mpya, kwasababu hatompenda tena mumewe, ndomaana huna feelings nae kwasababu upendo wako umehamia kwa huyo kijana.

Ndomaana biblia ikaruhusu, mume amuache mke kwa kosa la uasherati,(Mathayo 5:38), we unafikiri kwanini hakutajwa mwanaume? Mungu ndo anajua saikolojia ya wanadamu aliowaumba.

Mwambie mume wako akuache ili ukaolewe na huyo kijana, maana ndo unayempenda.
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Au nenda kwa wanasaikolojia wakusaidie, halafu wacha umalaya utakufa na magonjwa na kumuua mumeo na magonjwa
 
Her first man didn’t pay anything, he got it for free when goods were of high quality, but you the 7th wants to pay dowry. It’s better to be an insane person than to be a blue pilled man.
 
It’s gonna take you the same amount of time and effort to re-establish your feelings for your husband. You just didn’t wake up and feel attracted to that young lad. Its all in your judgement and only you can fix this. You’re treading on thin ice!
 
Mwekee sumu mumeo afe ili ufaidi penzi la kijana.

Niamini mimi utakuwa na furaha kuliko mwanamke yoyote hapa Duniani
 
Back
Top Bottom