Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
sio yule C.E.O wa lion SC kweli?😅😅Mwanamke anayependa sana kiswanglish muogope kaa nae mbali ni mtego. Kuna msichana type hii ya mtoa post wa kupenda english-swahili ana mtu wake ambaye ni afisa mkubwa tu serikalini na anamhudumia kila kitu ikiwemo zile vacation za Zanzibar ila mimi kuna wakati flani nikiwa mdhambi nilikuwa namwita huyo demu maskani kwangu tena uswazi sana ninamla. Wananchi wa uswahilini walikuwa wakishangaa benz aliyohingwa manzi inapaki nje kwangu.. madem wapenda kiswanglish ni tatizo.
Wazee wa "TYPHOID KISS" hahahaBila kusahau wazee wa kupitisha kaulimi kwenye kinyeo. Hizo mambo zinawadatisha san wake za watu
Vijana ni ma striker mahiri wanapeleka moto kama BALEKE 😀😀😀 kwa wenye ndoa zilizopoa huko pakiingiliwa tu jua mumw unakuwa useless moja kwa moja.Hakuna watu hatari Kam jobless au vijana wanaonza maisha, wanawake wengine hawajawahi kulambwa vinyeo.... Vijana wanapiga deki mitaro yote
Af akidakwa atataka kumsingizia shetaniTo be honestly umeyataka mwenyewe but kukusaidia tu usiendelee na huyo kijana.
Kamwe usimlinganishe mume wako na mchepuko, hilo ni kosa la jinai .
Block him kila kona, itachukua muda sana but
After a time utamsahau utaanza kurudi normal otherwise consider ni suala la muda your husb ataja gundua na ndoa yako itaishia shimoni.
[emoji1][emoji1][emoji1]Mtuzoee wengi tunapenda mwanaume mkorofi kiasi.Mwanaume akiwa mpole sanaa anakua kama Cinderella huyo hatutaki.Treating a woman nicely au being overnice kwa mwanamke ni mlango wa matatizo yani. Sio guarantee ya kwamba atakupenda per se. Atakufanyia usenge tu at the end.
Wale mabandidu ndio huwa hatuzinguliwagi sana sababu tunawapeleka mputa. Just put her in her place inatosha.
Noma sana!KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA
KATAA NDOA
[emoji23][emoji23][emoji23]hizo tutajua badayeSawa, vipi na veins za benki unazo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa, vipi na veins za benki unazo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahHalafu kuna mabwege wanajisifu kuwapa hela malaya ndio kupendwa zaidi na kinga ya kutochitiwa.
I once said the more you entertain a woman the more the chances she will cheat. Wanawake wanapenda vihoro yani, make her mind wonder everytime usimpe pumziko la akili. Mpeleke mputa mputa mtaishi miaka hata buku hatagongwa hata na nyuki.
Ila mpe magari, butters, hela na kila kitu ndio utashangaa anagongwa na mziba pancha wa carwash anapopelekaga gari kuoshwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa "TYPHOID KISS" hahaha
Umewekewa gududu na kijana huyo😀😀Happy Easter Monday MMU Family. Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow.
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, and a mother of four kids, miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote.
Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts. Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story.
Simfeel hata kidogo, nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana (nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue) of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.
Yesterday night niliwaza mengi sana. I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27].
Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Anani-treat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi.
Naombeni kwa aliyepitia situation kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani? Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot.
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you
NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
🤣🤣🤣 hatari sana aisee!Wazee wa "TYPHOID KISS" hahaha
Ubarikiwe
Hahaha.. dahHalafu kuna mabwege wanajisifu kuwapa hela malaya ndio kupendwa zaidi na kinga ya kutochitiwa.
I once said the more you entertain a woman the more the chances she will cheat. Wanawake wanapenda vihoro yani, make her mind wonder everytime usimpe pumziko la akili. Mpeleke mputa mputa mtaishi miaka hata buku hatagongwa hata na nyuki.
Ila mpe magari, butters, hela na kila kitu ndio utashangaa anagongwa na mziba pancha wa carwash anapopelekaga gari kuoshwa.
shetani naye siku ya kihama atakuwa ana jambo la kujiteteaAf akidakwa atataka kumsingizia shetani
[emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]Mtuzoee wengi tunapenda mwanaume mkorofi kiasi.Mwanaume akiwa mpole sanaa anakua kama Cinderella huyo hatutaki.
Sent using Jamii Forums mobile app