Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Kila jambo lina faida na hasara. Wewe una elements zote za umalaya MAKU WEWE.
 
Naona aibu sana kusikia mwanamke unacheat na unasimulia kwa ujasiri kwamba huna hisia na mume ambae he is too good for you

Tatizo limeanza pale ulipoanza kucheat, akili na mawazo yote ukahamishia kwa huyo kijana wako

Mpaka una watoto 4 that means hakuna jipya kwenye ulimwengu wa mapenzi usilolijua, why are you betraying your family in such a way?

Rudi kwenye familia yako, jenga ukaribu na mumeo, kidogo kidogo hisia zitarudi ila kwa masharti kwamba hutorudiana na huyo kijana, ikiwezekana fanya kila liwezekanalo kumsahau ili uweze kurudisha furaha ya ndoa yako
 
Huyu ameolewa na amezaa WATOTO 4 na mumewe kilichom-cost kwa mujibu wa story yake ni long distance relationship au tuseme long distance love, akaona ngoja atafute figa la pembeni maana mnaambiwa kwenye kitchen party zenyu kwamba sifuria haliwezi kuivisha mboga na figa moja inambidi figa ziwe at least 3/4/5 na kuendelea hapo mboga itaiva bila shida pia huko huko kwenye kitchen party zenyu mnaambiwa eti huwezi beba ndoo kubwa kichwani bila kua na kidumu au ndogo mkononi yaani moja kichwani moja mkononi,

Sasa yeye kaitumia ile formula ya kwenye kitchen party anarudi Mr. Mshedede unapigwa kitu bila bila wese halitoki baba anatembeza mafuta wese hola kitu kikavu hisia hazipo, kifuatacho sitaki kukisimulia hapa maana acha niweke nukta
 
Picha lishaisha hapo ili maisha yaendelee vunja tu iyo ndoa
 
Hakuna Ndoa tena hapo. Ni suala la Mda tu. Ila Duuh hadi huruma.
 
Tumia huu muda wa likizo kurekebisha hiyo hali, maana unakoelekea ni kuvunja ndoa yako.
Achana na huyo mchepuko maana hata ukivunja hiyo ndoa ya mmeo akupendaye huyo kijana hatalea hao wanao.
Lakini pia jitahidi kuwa unamuomba mmeoa aje ulipo walau kila miez 2 au wewe uhakikishe kuwa unaenda kwa mmeo kwa muda huo hata km ni mwezi mmoja.
Kingine mwambie huyo kijana apunguze mazowea na wewe sababu mmeo amejuwa na anamfuatilia.
NA MWISHO MMEO SI UNAMPENDA KWELI KWEL KWELI MWAMBIE KUWA KUNA DOGO HUKO ULIKO KAZINI KWAKO ANASUUMBUWA WEWE ANATAKA UTAMU WAKO MPE NAMBA YA DOGO THEN YEYE ATAJUWA CHA KUFANYA AKIONYWA NA WEWE UKASIMAMA KWENYE MSITARI NAAMINI UTASHINDA.
 
Hizi mara nyingi huwa ni chai (uongo) na trust me huenda ni dume limekaa sehemu linaandika kwa sababu wanajua thread za aina hii zinavutia michango. Kama ni kweli ni mwanamke basi alilatiwa na huyo kijana na akazoea.
 
Asante kwa ushauri dear [emoji120]
 
Baada ya kuzini na kijana kanakimbia humu kuwashauri wadada eti please ladies if you're married do cheat on your spouse,hovyoo kbsa.

Bt kwa kuanzia, hii ni chai iliyopitiliziwa sukari.
 
Mwaka huu nategemea kuoa, ila mastori kama haya yanavivunja moyo.... imagine mchizi hana kosa lolote na unamsaliti. Kuna haja ya kukataa ndoa
Usivunjike moyo dear..go and marry.. Marriage is the beautiful thing. Kuteleza kupo since we are human beings Ila haituzuii kuonesha upendo Kwa tunaowapenda.
 
Veins ndio nini?? Nipe maelekezo namimi kabla hujaanza kunicheat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…