Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Wewe hizo MSG 300 zote za huko Juu hujaona ushaurii unaokufaaa???? Tumekwambia waueee wanao na mumeo kwa kuwawekea sumu uenjoy na Huyo beib mpyaaaa...
Usichukie kias hicho....easy easyyy
 
Endelea kuikatikia...ila cha kufanya mtonye jamaa.
Na wewe kuwa Smart...huyo dogo uliyenaye ndiyo wa kupewa taarifa kuwa huo mzigo anakula una jamaa amaetulia pahala anasoma ramani na Mafuta pembeni ..huku wewe ukiwa unaandaliwa ..ukipendwa kufukuzwa au kuachana.

Ukiaa pabaya zaidi...tusikie kwa Polisi kuwa Marehemu alipigwa na kitu chenye nja kali.

Jitahidi kwenu wajue hili la kuwa na mchepuko mapema..ili kuepusha ugomvi na aliyekuoa baada ya kifo chako.

Lakini la muhimu zaidi msaidie jamaa yetu aliyekuoa asieende jela kwa sababu yako.Huyo jamaa anahitajika agawe moto kwa wanawake wengine kama wewe.

Katikia kijana huyo mpya kisawa sawa achana na jamaa aliyekuoa mapema.
 
Mwanamke sio wakumuamini kwakweli,,,
Ila nafikiri dunia itakufundisha ipo siku utaurudia huu uzi wako ukiwa na majonzi wakubwa saana.
Lazima utakuwa unakumbuka wakati ukiwa unaandika uzi huu kwani utakuwa unakumbuka vingi saana ila utakuwa huwezi kugeuza au kubadilisha chchte

Na badala yake majuto yatakuwa kila kitu kwako
 
Kwaiyo mume mchepukaji ndo anatakiwa kuishi sio eeee
 
Tumekwishaa
 
Unadhani majaribu yanakujaga kukubipu?

Majaribu yanakujaga yamejipanga.

Yamepanda hewani, yana sauti kama radi halafu yanakuwaga na mimacho mitamu balaa. Huchomoki ng'o.
Hahhaha iyo suti kama radi.make apo ncheke kwanza
 
Kwaiyo mume mchepukaji ndo anatakiwa kuishi sio eeee
Sikulazimishi Mkuu kuelewa,,,Jipe muda.... Mm nimezungumzia Mwanamke....na wewe kama una hoja kuhusu Wanaume basi weka hoja mezani....

Rudia kusoma Bandiko langu.,,,
 
Ama kweli hii ni JF[emoji23][emoji23], ww jamaa si kuna uzi wako unasema kuna demu anakupenda ila ww humpendi na yuko tayari kukuhudumia kwa kila kitu maana hauna mishe ya maana mjini
 
Ama kweli hii ni JF[emoji23][emoji23], ww jamaa si kuna uzi wako unasema kuna demu anakupenda ila ww humpendi na yuko tayari kukuhudumia kwa kila kitu maana hauna mishe ya maana mjini
Maanake ncheke kwanza 😁😁😁😁😁
 
Hivi upo seriously au unatania
 
Kweli dear nimewaza Ni kichaa Cha Penzi. But there is this inner voice keep saying I real don't care what tommorow may bring life is now.
My dear, trust me, your family is better than ur desires! Life is more than orgasms and siku the young man akikutenda u will remember all this tena in capital letters!
Kiukweli mama, wanaume huwa hawapendi na ndio maana almost species zote za kiume ni polygamists!
 
I said this to my heart Mara nyingi Sana but still sauti inaniambia emoj Maisha Ni Sasa. Hili ndio naoga kumwambia maana naogopa ataniacha.
Wanaume wanaojitambua tukijua tu kuwa wwe ni Mke wa Mtu ndiyo by by hiyo! Wwe ficha lakini muda ukifika ukweli utajulikana! Na unaweza kuta na Kijana nae ni Mume wa Mtu pia! Kwa hiyo hapo Dada nakuona kama watangwa maji kwa kinu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…