Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Nishafanya mengi kwenye mahusiano ya kimapenzi, nishaona mengi kwenye mahusiano ya kimapenzi, nishasikia mengi kwenye mahusiano ya kimapenzi....

Sikulaumu. Fuata moyo wako. Ni maisha yako, ni furaha yako. Kila utendalo unajitendea mwenyewe!
 
Mwambie mume wa zamani umepata chungu kipya muachane kwa amani
Usisahau kuwaaga watoto wako🤣🤣🤣
 
Watoto wanne still 32 hiyo ni chai
Mkuu Mbona Kuna wanawake wengi tu Wana miaka 25 na Wana watoto wanne wengine Hadi 5 hasa wanawake jamii ya akina adriz huku mtoni. Hadi wadenish wanorway na waswid wanawaonea wivu na chuki wakati wenyewe wanalea mijibwa tuu. Faharari ya mwanamke bana ni kuzaa watoto wengi ukiwa in your 20s. Ukifika 40s huko haohao watoto Kila mmoja akikupiga support ya dollars ama euros 500 Kila mwezi unaishi kama malkia. Kuna mama msomali alianza kuzaa akiwa 16 alipofikisha alikuwa na watoto Sasa. Sasa hivi anaelekea 40 wawili Bado mid teens anaishi nao. Watano wanafanya kazi na Kila mmoja Kila mwezi lazima wammpe Mama Yao siyo chini ya euro 500 hivi. Mumewe alifariki. I really admire that family. Mama Yao ni kuenjoy tu Kila mara Yuko Manchester Toronto na Minnesota anazunguka tu.
 

Ewe mzinzi hivi Mungu gani shahidi wa huo uchafu wako? Unaombaje ushauri wakati ushaweka msimamo wa kutomwacha huyo mzinzi mwenzako ? Unahitaji msaada wa haraka sana we mama nifuate kwa pm nikupe msaada zaidi otherwise unaweza poteza kazi na familia yako kimasihara .
 
Daaah hatare, na je baada ya kuolewa na huyo kijana akitokea kijana Tena mwingine mwendo ndo utakuwa huohuo???
 
Punguza kuwaza umalaya. Hiyo ni roho ya kishetani inakuandama. Ukimwi upo na unaua. Majuto ni mjukuu. Neno "ningejua" huja badae
 
Hii ni chai, lakini wanawake wajinga na wapumbavu wa aina hii pia wapo wengi tu huku kitaa, wanaotema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Usiseme wanawake wajinga wapumbafu ,sema watu maana hata wanaume wapo kibao, sema wake zao wakijua huwa wanawaka kiisha wanapoa na kusonga mbele, wanaume ndiyo hupiga kelele na kuona si jambo la kawaida, hivyo toa ushauri tu kwa huyo mama wanne.
 
Hapa waliooa na wapo mbali na wakezao roho zinawadunda

Wanaume Wenye watoto wanne sasa wanapumulia mashine[emoji24][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo anaweza kuwa hata na watano na ana 36yrs ili kuficha uhusika lazima afiche, acha wapumulie tu machine!
 
Jamani mbona mnamtukana. Mrembo kaenjoy de libolo inabidi tupate wanawake wengi wa namna hii free to explore their sexuality.
Ngoja aje kufa kimasihala Kwa hizi porojo zako......mkaa umeshuka bei......atawekewa gunia kumi aungue mpaka kinyero
 
Ukisema Ukweli umekwisha. A little lie to protect against doesn't hurt. Enjoy the moment, usimuache Mmeo try to Balance until your Last Breath.

Hata Mmeo anaonja nje ila ana balance. Muache akakutambulishe tgen nicheki nikupe script tena itakayokuongoza, Happy Lying Days to come.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msichepuke wengine wanasukari, wengine wana asali, wengine wanachumvi dunia uwanja wa fujo huu wee mwana weee shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…