Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Jesus christian ronaldo!!
Hivi wanawake mna nn,
Jitazame kwanza ulivyo shetan! Mnafki,muongo,mpumbavu,msaliti,mjinga tena mshenzi kabisa!
Huwezi kutufanya wanaume wote wapumbavu kiasi hiki.
Anyway wacha niishie hapa,naomba samahan kwa maneno makali ndugu zangu ni hasira tu as if mm ndiye mumuwe!au huyo jamaa anaetaka muoa..but dadas jitafakarini sana,jifunzeni kuridhika jmn mnatufanya tusijeoa kabisa na nyie ndio mnazorotesha mapenzi hapa duniani.[emoji24][emoji24][emoji24]
It's ok dear, and I am sorry kukufanya ujisikie vibaya it wasn't my intention I swear dear. But dear Kama kweli uko na plan ya kuoa please do it dear, my wrong doing doesn't make your girlfriend wrong too. And all in all hakuna Formula ya maisha dear. Just marry that girl and enjoy your life together dear.
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Hivi wanawake mnashida gan??...wew ni nyoka inabidi upigwe kichwani mpaka ufee! Watoto wanne Damn.
 
Mapenzi ndivyo yalivyo; yanachanganya sana watu
sanamu.jpg
 
Guys I know I know I made a mistake but can we please come together and try to be POSITIVE. Najua nimewakwaza wengine Sana but let me just say Sorry. Just be kind to me people, I beg you in the name of God please, I know mmenimbia Sana Mithali mwanamke huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe but also Kuna hii verse inasema Ndugu akipotea mrejesheni kwa upole???.
 
R.I.P mshenzi wewe,nielekeze mahala ulipo ili siku yakikukuta nije msibani kwako nitupie jiwe kaburini usiamke
 
Uliwahi ugua kichaa?
 
Guys I know I know I made a mistake but can we please come together and try to be POSITIVE. Najua nimewakwaza wengine Sana but let me just say Sorry. Just be kind to me people, I beg you in the name of God please, I know mmenimbia Sana Mithali mwanamke huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe but also Kuna hii verse inasema Ndugu akipotea mrejesheni kwa upole???.
Usiharibu familia, mtumie huyo kijana pale unapokuwa umezidiwa tu na mumeo akiwa mbali
 
Sasa zawadi zote umewapa wa mbali huku utakufa na nn 🙄 na Mchele wa chimala wakati mi nakula wa kyela🤦 jipange siku ingine Kwa kweli
Dah, basi sawa
 
Attachments

  • 20220614_070057.jpg
    20220614_070057.jpg
    17.9 KB · Views: 5
Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious,
Ungekuwa mwanaumejust for one second ungefuta hayo mawazo ya kishetani na huyo jamaa,,sisi huwa tunatambulisha kwa uhakika wa mbunye kwanza nikifanya hvo utaniamin sasa nakuendelea jipigia hadi nichoke
jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani
emoji24.png
emoji24.png
.
Niseme tu kichwa yako haiko sawa sawa
 
Dear nimewaza hii but nasikia sauti ikiniambia maisha Ni Sasa. Live it to the fullest.Like I really don't care what tommorow may bring.
If you don't care what tomorrow may bring just go for the dude, but mind you the following;
● Hakuna mwanaume wa kuoa mwanamke muongo, ungemuambia the whole truth mapema akafanya maamuzi mapema, ila kwa hilo ulilofanya forget about the smart, handsome and tall guy
● Hakuna mwanaume wa kuoa mwanamke anayekimbia ndoa yake ili awe na yeye, labda huyo smart and tall guy ni the opposite of what you've said.
● Jiandae kuwa single mom as huyo smart guy hawezi kuoa mwanamke aliyezalishwa four times, I mean four times...no man would do that, unless he's not man enough.

Anyway, umeamua kutuletea chai ya nanenane, nawashauri wakulima wazidi kulima chai.
 
It's ok dear, and I am sorry kukufanya ujisikie vibaya it wasn't my intention I swear dear. But dear Kama kweli uko na plan ya kuoa please do it dear, my wrong doing doesn't make your girlfriend wrong too. And all in all hakuna Formula ya maisha dear. Just marry that girl and enjoy your life together dear.
Niliwahi mkataza wa kwangu kwenda mbali na familia sababu ni hii,
Ubongo wa wanawake wakati mwingine ukitikisika basi haufanyi kazi
 
Yan Una watoto 4 na bado ulikuwa ujafeel mapenzi dada wewe ni Malaya pro max..........hizo nyege za uzeeni ndio zinazo sababisha mfe vifo vibaya .........**** Nina weww
Jamani mbona mnamtukana. Mrembo kaenjoy de libolo inabidi tupate wanawake wengi wa namna hii free to explore their sexuality.
 
Niliwahi mkataza wa kwangu kwenda mbali na familia sababu ni hii,
Ubongo wa wanawake wakati mwingine ukitikisika basi haufanyi kazi
Niliandika uzi "wanawake hawana akili wana mihemko na hisia" mods wakaufuta na ili hali uzi ulisheni hoja za kutosha. Leo nadhani mods kwa uzi huu wamepata ushahidi wa how brainless women are.

Hivi huyu shangazi akipewa sumu amuue mumewe na watoto wake wanne ili aolewe na "jina" niambieni jinsi gani atakataa.
 
Ah ah haha asee dai talaka! Ndoa ni makubaliano ya hiyari ya pande mbili! Mmoja akivunja makubaliano no more ndoa! So nawewe nakushauri vunja makubaliano! Hata madam flora aliolewga na Emmanuel mbasha wakaachana
 
Mwambie tu ukweli kuwa umeolewa na una watoto 4 ulimdanganya mwanzo, atakuona mkweli na kuamua kuendelea na mchakato wa ndoa.

Ukiona haitoshi mkutanishe na mumeo ili wafanye maamuzi ambayo hayatakugharimu kama ulivyoomba.

Ukimchekea shetani nyumbani kwako atakufedhehesha ukweni.

HUU UJUMBE HAPA CHINI NATAMANI AUSOME NA AULEWE, UNA UJUMBE MZITO MNO.
 
Back
Top Bottom