Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Kwa hiyo kila maanaume smart na mwemye sauti nzuri unamvulia nguo?

Una miaka 32 ila HUNA AKILI.

KILA LA HERI
Sio wote, I have my taste dear ya kupima hii. But dear have ever loved someone like you feel that person deep inside?
 
Wewe malaya huna akili i feel very sorry kwa huyo mumeo amefuga malaya ndani
Dear I swear to God my husband is Blessed to have me, I am not that picture you see in your mind dear. I am a good wife.. only that I am not getting myself with Kijana. Na sikuwahi waza itakuwa hivi but here I am now feeling Kijana so deep.
 
Kila nikiingia jukwaa hili ya mapenzi napata shida kuoa maana naona kama Nitaemuoa atakuwa kama wengine, ngoja nivute kwanza mpaka miaka 5 ipite [emoji23], hata nikioa nikiwa na miaka 50 ni fresh tu..

Dada mchepukaji nakwambia umeyakanyaga jiandae kujuta maisha yako yote najuta baada ya kuolewa na Kijana soon utarudi kuomba msamaha kwa Ex husband wako..

GOOD LUCK

Liverpool VPN naomba unipe kadi ya miaka 5 .
Dear I am sorry Kama nimekufanya uhairishe kuoa, but dear we are different, Emoj might be bad but your girlfriend might be good dear, love is just a game like any other game dear, hakuna guarantee dear, if you have someone you love please go and marry her dear, my wrong doing doesn't make all women wrong. Kuhusu kujutia nimewaza Hilo but there is this voice in me keep saying I really don't care come rain come sunshine.
 
Unsubscribed naona unatochoshaa tuu[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Wewe ni mbinafsi sana ,unatamani kupendwan lakini huwazi kuhusu watoto wako uliowazaa na ukiolewa utategemea kupata watoto.
Kumbuka hata hao watoto uliowazaa wanahitaji upendo wa wazazi wawili.
Kama ulishakuwa na maamuzi sidhani kama uzi huu utakusaidia
But Iam not planning like kutelekeza watoto dear, I will still be their mother and be committed to them as a mother dear. I just can't leave them to feel my gap dear.
 
Siku hizi mapepo yame advance nayo yanajifariji kuomba ushauri
But I am a human being dear, just like you. I hope you are also not Holly dear, since we are all human and we make mistakes dear.
 
VOICE NOTE YAVUNJA NDOA[emoji23][emoji38]
Yani kameolewa kanaenda kupenda mtu kasiemjua.
Kanaongea like kana simulia mashosti zake.
Kanamdiss mwanetu kwa kusema hakajawahi kupigwa show Kama za Tolu.
Tukaitaje haka kadada kenye Monkey Mind.
#Uchafu.. wenzako wanataman ndoa
But I didn't see it coming dear, I swear dear. I know watu wanatamani ndoa and I don't take my marriage for granted, I am a committed wife, only that nimeteleza and now I am deep and I feel like ...I wish I met Kijana early.
 
Ulianza ubinafsi mapema na lazima dhambi yako ya zinaa na ubinafsi utakuadhibu.

Ushauri: achana na kijana ingawa sio rahisi. Mueleze mumeo majaribu ambayo yanakukuta na mhimize akuhurumie kwa nyege ulizonazo.

Kuwa na makini na maamuzi unayichukua. Kama usingekubali na kulowea kwenye mapenzi usingekutana na hali uliyonayo hivi sasa.

Kila mtu hujaribiwa kwa mapenzi romance zinazotokea lakini hubakia Kutii kiapo na sheria ya ndoa kwa imani yake.

TII SHERIA NA IMAN YAKO.
 
Ushafanikisha hilo mbn wanao umewaterekeza pia mmeo ushaona Hana maana tn mpkipigwa risasi mnasema mnaonewa haya sasa unachotafuta apo nini acha tamaa ya hisia mbwa
Ukweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
Sha
 
Mwambie wewe ni malaya mwenye laana
Huh ... Oh noo.But dear do you think like I am too too too bad??.. I am not dear, ukweli nimekamatika and this one wrong doesn't make me be thaaaaat bad dear. Kweli.
 
Huyo kijana ameshakuspoil kimahaba totally. Ukivunja ndoa yako Utajuta muda si mrefu utakuja na mrejesho
 
Acheni kuangalia Matamthilia Yana yanawapa Matamanio na kuwapa machaguo ya ufanye kipi bila kujua ... That's a trap of Media.
Yup left a good heart coz of nice lukin tolu😎
But I didn't see it coming dear, I swear dear. I know watu wanatamani ndoa and I don't take my marriage for granted, I am a committed wife, only that nimeteleza and now I am deep and I feel like ...I wish I met Kijana early.
 
Back
Top Bottom