Kuna Wanawake hawapendi Wanaume wapole na watiifu kwao,wanapenda wale Wanaume wanaowapiga matukio hadi wanakua na ma stress kibao hadi muda wa ku cheat hawana jinsi wanavyo teseka na mapenzi!!If your husband has been faithful and caring, then to Simply leave him because you found someone new, that is selfish and unfair to him.
Inawezekana kabisa My sister ana 28 na watoto 3Watoto wanne still 32 hiyo ni chai
Mungu wa mbinguni akufanyie yawe mepesi yote,Asante sana,nimepitia mengi magumu na bado napitia....Ivo ninachoshauri ni maisha yenyewe ninayoishi
You will not be finished take heart. Ni ajali tu kama ajali zingine. Bahati mbaya vitu vinavyotupa raha na furaha ni haramu katika macho ya jamii, dini au sheria. Utavuka jaribu hili.Thank you dear. Let me find the style to tell him the truth coz if he runs away I am finished dear.
Inawezekana kama binti aliolewa straight akiwa 23 baada ya chuo tu. Ina maana 24 toto la kwanza, 26 wa pili, 28 wa tatu, 3O wa nne.Rafiki yangu ana miaka 30 tyri ana watoto wanne na apo Hana Mme na ana kazi nzur Tu
Mtoa mada you are funny. Kama ndio mapenzi umeanza juzi. Jiwekee akiba in case jamaa akimwaga mzigo.Gharama ya kumpoteza husband angalau kidogo Ila gharama ya kumpoteza Kijana nawaza nitakuwa chizi Mimi I just can't imagine
Hio tunaita "Lust" hata wewe ukikutana na mtu mpya leo ambaye umevutiwa nae sana kimapenzi mka engage penzini na akakuchangamsha vizuri kihisia lazma utapata hio feeling of "lust". Unaweza kuhisi ni mtu wa pekee ila ile phase ya lust ikikata ndio akili itarejea ndio utajua una mtu gani.Hakuna mapenzi bali tamaa ya ngono hapo hio inaitwa first love ndio uwafanya wengi kukosea kuoa au kuolewa kwa kuvutwa na msukumo wa ngono. Ukiisha ingia tu kwenye ndoa inaisha utatamani mwingine.
Kwa hisani yake nitaomba nakala ya dawa hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe kiruuuuh... Ngoja nmtafutie dawa za kukuza na kunenepesha
Amina🙏Mungu wa mbinguni akufanyie yawe mepesi yote,
Barikiwa sana sana
Mumeo ana umri gani?Ukweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
Kuliko vita ya Urusi.chukua ushauri wangu huta juta hata kidogo huyo kijana mwambie ukweli na usimfiche maana kwetu sisi wanaume huwa tuna penda mtu ambaee yuko muwazi na muombe awepo kwenye maisha yako ila tu swala la ndoa achana nalo na mpe uhuru wa kuwa na mtu najua atakata ila itafanya kuto kumpa nafasi ya kukuacha na hakikisha una muweka karibu mpe hiyoo punani(K) kila mda.
na mwambie unampenda kuliko VITA YA URUSI.
Anaweza asikuache yeye ila atakaposema kwao kuwa una watoto ndio biashara itaishia hapo. Uombe asiseme kwao kuwa wewe una watoto.Asante. Hili naliwaza Ila pia nawaza atalipokeaje sio ataniacha kweli??. And my life without him is totally a mess dear [emoji24]
Judgemental and considering onself righteous.Siku ya hukumu, utasimama na kujitetea kwa kumtuhumu shetani. Atakuuliza ulisikia sauti yangu, utajibu hapana. Uliniona kwa macho yako? Utamjibu hapana. Kulikuwepo vitabu vya dini vya kukuongoza katika imani yako? Utamjibu ndio. Atakuuliza kwa nini hukuvifata? Utaanza kujing'ata ng'ata.
Hapo ndo utapewa kamtama kamoko ka kukusindikiza kwenye makazi ya kudumu.
Anyway, I am far from perfect. But if I were you I would leave that town and go back to my family. The value of your family is equivalent to ypur life. Better think twice.