Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

If your husband has been faithful and caring, then to Simply leave him because you found someone new, that is selfish and unfair to him.
Kuna Wanawake hawapendi Wanaume wapole na watiifu kwao,wanapenda wale Wanaume wanaowapiga matukio hadi wanakua na ma stress kibao hadi muda wa ku cheat hawana jinsi wanavyo teseka na mapenzi!!
 
Thank you dear. Let me find the style to tell him the truth coz if he runs away I am finished dear.
You will not be finished take heart. Ni ajali tu kama ajali zingine. Bahati mbaya vitu vinavyotupa raha na furaha ni haramu katika macho ya jamii, dini au sheria. Utavuka jaribu hili.
 
Rafiki yangu ana miaka 30 tyri ana watoto wanne na apo Hana Mme na ana kazi nzur Tu
Inawezekana kama binti aliolewa straight akiwa 23 baada ya chuo tu. Ina maana 24 toto la kwanza, 26 wa pili, 28 wa tatu, 3O wa nne.

Olu in Olu mtoto ana K tamu ndio maana mwamba alikazana kukojoa 😂
 
Wanawake mlio katika ndoa na mmesha saa huwa hamna cha kupoteza kwenye mechi za ugenini ni maharage ya mbeya....pole sana humpendi me wako,ungekuwa una mpenda mumeo usinge fanya hayo matusi....chagua kusuka au kunyoa vyote ni sawa kwako.
 
Whattt tha FVCK is this!!!!

Vijana oneni wanawake hao!hii pimbi hapa inaingia kwenye uzinzi kwa kusikia sauti tu hakika ni wakati mgumu kwa kizazi hiki,so sasa hivi siyo pesa na six pack tena mnatakiwa muwe na sauti nzuri za kuwa-turn on hawa wapinzani.

Hakika nakushauri wewe mume wa huyu mwanamke hapa kama utapita humu siku ukiigundua hii usisite kuiga kwa waliokutangulia refer Khamis wa Kigamboni na gunia zake za mkaa na Said na pistol yake.wanawake ni wa hovyo sana.
 
Gharama ya kumpoteza husband angalau kidogo Ila gharama ya kumpoteza Kijana nawaza nitakuwa chizi Mimi I just can't imagine
Mtoa mada you are funny. Kama ndio mapenzi umeanza juzi. Jiwekee akiba in case jamaa akimwaga mzigo.
 
Hakuna mapenzi bali tamaa ya ngono hapo hio inaitwa first love ndio uwafanya wengi kukosea kuoa au kuolewa kwa kuvutwa na msukumo wa ngono. Ukiisha ingia tu kwenye ndoa inaisha utatamani mwingine.
Hio tunaita "Lust" hata wewe ukikutana na mtu mpya leo ambaye umevutiwa nae sana kimapenzi mka engage penzini na akakuchangamsha vizuri kihisia lazma utapata hio feeling of "lust". Unaweza kuhisi ni mtu wa pekee ila ile phase ya lust ikikata ndio akili itarejea ndio utajua una mtu gani.
 
Ukweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
Mumeo ana umri gani?
 
chukua ushauri wangu huta juta hata kidogo huyo kijana mwambie ukweli na usimfiche maana kwetu sisi wanaume huwa tuna penda mtu ambaee yuko muwazi na muombe awepo kwenye maisha yako ila tu swala la ndoa achana nalo na mpe uhuru wa kuwa na mtu najua atakata ila itafanya kuto kumpa nafasi ya kukuacha na hakikisha una muweka karibu mpe hiyoo punani(K) kila mda.
na mwambie unampenda kuliko VITA YA URUSI.
Kuliko vita ya Urusi.
 
Asante. Hili naliwaza Ila pia nawaza atalipokeaje sio ataniacha kweli??. And my life without him is totally a mess dear [emoji24]
Anaweza asikuache yeye ila atakaposema kwao kuwa una watoto ndio biashara itaishia hapo. Uombe asiseme kwao kuwa wewe una watoto.
 
Siku ya hukumu, utasimama na kujitetea kwa kumtuhumu shetani. Atakuuliza ulisikia sauti yangu, utajibu hapana. Uliniona kwa macho yako? Utamjibu hapana. Kulikuwepo vitabu vya dini vya kukuongoza katika imani yako? Utamjibu ndio. Atakuuliza kwa nini hukuvifata? Utaanza kujing'ata ng'ata.

Hapo ndo utapewa kamtama kamoko ka kukusindikiza kwenye makazi ya kudumu.

Anyway, I am far from perfect. But if I were you I would leave that town and go back to my family. The value of your family is equivalent to ypur life. Better think twice.
Judgemental and considering onself righteous.
 
Back
Top Bottom