Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Hapa ndio tofauti ya me na ke ilipo.

Me hata akicheat, most likely familia yake ataiangalia, atahudumia watoto wake na kubalance pande zote..most likely.

Ke akicheat anabeba kila kitu kuanzia kipapa hadi ubongo, ndicho anachofanya bidada. Hata kama unacheat, ndio wengi siku hizi ndio trend...lakini usihamishe kipapa hadi ubongo wako kwa mcheps.
 
Unakosea Sana, Kuna HIV na homa ya ini mkuu
 
Jamani sasa sii umesema ukweli na mie nimekusupport. Bidada de libolo limekolea wacha aenjoy jamani maana kupata anayekukunanvizuri ni shughuli
Mapenzi sio dibolo tu my dear. Hamna mtu aliweza shindana na hisia za mapenzi akabaki salama. Wale wanaolazimisha kupingana na hisia zao ndio wale baadae wanaona partners wao wanawawekea kiwingu wanaamua kuwaondosha kwa kuwaua. Kuliko upate dhambi ya kuua si bora umuache mwenzio na wewe ufuate unachokitaka?
Halafu mnasema atajuta, what if asipojuta? Mimi simjazi namwambia ukweli kabisa afuate furaha yake. Hatujaja duniani kuishi mawazo ya watu wengine Bali yale yetu yanayotupa furaha.
 
Uwe unaweka na tangawizi nyingi, bila kusahau iriki
 
Afuate furaha yake, that's true. Japo hajaangalia hiyo furaha itakaa mda gani, ni lazima pia yeye apime furaha anayoitaka ni ya leo tu au ya mda mrefu.

Kuna wakati ni bora mtu afanye mambo yake hata kama tutasema ni umalaya lakini afanye kabla ya kuzama kwa ndoa, huyu inaonekana kaolewa bado mdogo hakuchezea mijegeje ya kutosha, leo katoka kidogo ishakuwa shida tayari.
 
We akili huna in fact kwa sababu ukisema ufuate kila nafsi kinachokuambia kuwa nikizur kwako unajua mafikio yako ni nin??

Na ndo maana mtu ukapewa kitu kinachoitwa akili kwa maana uweze kuchanganua mambo na vitu unavyokumban navyo kweny maish..

Sa we kwa akili yako unahisi yuko sahihi??
Au anaihakikishaje nafsi yake kuw hapo ndo patakuwa na utulivu daima??.

Hiyo akili baki nayo we mwenyewe ila usimshauri mtu aitumie kweny maisha yake
 
Kukaa au kutokaa kwa furaha ni kati ya fumbo binadamu tulifumbiwa na Mungu. Hamna anaejua ya leo yatakuaje kesho ndio maana hata maandiko yanasema msihangaikie kesho, kesho itajihangaikia yenyewe.
Kupenda nje ya ndoa sio sababu ya mjegejo, mwanamke hawezi kuenjoy mjegejo bila hisia. Mke wa mtu akishaliwa nje ni ngumu sana sana kuendelea kuenjoy sex na mume wake sababu hisia atakua ameshazihamishia nje na ataona kero mumewe akidai haki kwani hatakua anafanya kwa kumfurahia bali kumfurahisha.

Mwanamke anaenjoy sex nje ya ndoa ni hatari kuliko Corona maana atafanya analoweza amtoe mume aendelee kubaki na raha anazozipata nje.
 
Mkuu mimi sina kipimo cha kipi ni sahihi au sio sahihi kwenye maisha ya mwingine. Kila mtu afanye analoona yeye ni sahihi kwake. Unachoona sahihi kwako kinaweza kisiwe sahihi kwa mwingine and it is very much okay.
Nothing is wrong or right your perception makes it so.
 
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Hahahaha naona jf imeingiliwa na watu wa I'd makengo maana ndo wanakuaga na huu upupu kama wa mleta mada vichwani mwao. Kuwa makini fanya maamuzi kwa kutumia akili Yako na sio moyo.

Angalia hasara na faida za Kila mamuzi utakayochukua hapo ndo utajua uchague kitu gani.
 
Huenda uko sahihi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…