ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Furushi la kike...teh!🤔🤔🤔🤔🤔
"Afanye analoona linafaa"..
Hatuingilii maisha ya mtu sie..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furushi la kike...teh!🤔🤔🤔🤔🤔
kuna kitu kimoja kikubwa sana napenda kukushauri, amini usiamini, hakuna kitu hatari duniani kama kuharibu mahusiano kama yako. utajuta kwa miaka mingi sana, mambo yako mengi sana yataharibika unnecessarily, pia, huyo kijana utamponza na kumpoteza. hajielewi na hajui hatari yake.Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.
Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.
Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.
Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.
Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.
His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live
.![]()
For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack, amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time
, hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...![]()
He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.
Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro.I am confused ndugu zangu.![]()
Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.
Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .
Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani
.![]()
Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?
Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana. I feel him so deep jamani.![]()
Asanteni
Kilichobaki asikilize akili yake,lkn maushauri hapa inatosha,,,,,kuna kitu kimoja kikubwa sana napenda kukushauri, amini usiamini, hakuna kitu hatari duniani kama kuharibu mahusiano kama yako. utajuta kwa miaka mingi sana, mambo yako mengi sana yataharibika unnecessarily, pia, huyo kijana utamponza na kumpoteza. hajielewi na hajui hatari yake.
kuna watu si chini ya wanne nawafahamu, wanajuta kuhusu hilo. mmoja ni mwanamke alikuwa anaiba ndoa ya mtu hiyohiyo, akazaa na watoto wawili, alikuja kumwagiwa tindikali sasaivi ni kipofu.
kuna mwingine sio mtanzania, alimwagiwa tindikali uso wooote umeharibika huwezi kumwangalia mara mbili though yeye alibahatika macho yanaona na anaweza kufanya kazi ila ukikutana naye unaweza kumkimbia.
kuna kakijana fulani walikuwa wanasema kahendisamu hivyohivyo wanakarusha hapo Moshi wanaomba msaada anahitaji milioni 100 akafanyiwe surgery India kwasababu alikuwa anatembea na mke wa mtu mwenye mali akafanya yake.
hao ni wale waliopona. ila kuna vichaa weengi tu mtaani hapa walitengenezwa kwasababu ya kuvamia nyuchi za watu.
utajisikiaje ukiishi huku ukijua ulikuwa sababu ya mtu mwingine kupoteza maisha au kuharibikiwa maisha kwasababu tu ya ngono? usisababishie watu matatizo. wanadamu wakiwa wazima huwa wanajiona wajanja sana wanajiona miili yao mizuri sana, wanajiona wanainjoy sana, ila kuna wakati utafika ambao hautajitamani na hakutakuwa na mtu yeyote anayekujali isipokuwa yule uliyetoka naye mbali. kama wewe una ujasiri kumuacha mume uliyefunga naye ndoa, huyo kijana atajiona yeye ni nani hata asiachwe? atakutumia tu na atajua hata yeye kuna siku atachinjiwa baharini. hawezi kukuthamini kama atakavyokuthamini mtu uliyefunga naye ndoa. ushauri huu unaweza kuuchukua au kuuacha. ila tunaomba msituletee michango hapa yakiwakuta yakuwakuta.
Inawezekana kuna demu kitaa ana watoto 3 na ana miaka 26Watoto wanne still 32 hiyo ni chai
Naomba taratibu za kuvunja ya ndoa ya kiserikari nishatibuliwa wangu huko anagawa tu laiti wangejua hamna zarau mwanaume hawezi kukubali kama kuchapiwa bc tunajizuia kuuwaMy ex wife ana story kama yako. Alifanya haya, ila alikutana na mme mwenye akili nyingi kumzidi yeye (mimi mwenyewe). Niligundua katika kipindi flan hivi hakuwa na interest na mimi, it was like kulikuwa na kitu nje ya ndoa kinafanyika na concentration na matumaini yake viko huko. Nilimdukua kwa muda wa miezi 6 and it was over.
Alikuwa na mwanamme kijana anayemzidi almost 8 years, walikuwa wapenzi wa kufa jitu, ok...nikamwacha bila kumwambia jambo na ndoa ikawa inaendelea, alifikia mwisho wake. Nili seperate nae kisheria, kiroho safi (sikufanya jinai kama wapumbavu wengine wanafanya, eti unaua..).
Just after seperation, yule bwana alimtelekeza (labda ni kwa hofu ya kuingia matatani). The woman is getting life hardships now, mpaka anatia huruma.
Umeshanielewa, harafu nadhani unahitaji kumwomba Mungu akupe hekima, naona huna japo kibaka wako unamzidi umri.
Huu ushauri asipoufuta amepoteaMy ex wife ana story kama yako. Alifanya haya, ila alikutana na mme mwenye akili nyingi kumzidi yeye (mimi mwenyewe). Niligundua katika kipindi flan hivi hakuwa na interest na mimi, it was like kulikuwa na kitu nje ya ndoa kinafanyika na concentration na matumaini yake viko huko. Nilimdukua kwa muda wa miezi 6 and it was over.
Alikuwa na mwanamme kijana anayemzidi almost 8 years, walikuwa wapenzi wa kufa jitu, ok...nikamwacha bila kumwambia jambo na ndoa ikawa inaendelea, alifikia mwisho wake. Nili seperate nae kisheria, kiroho safi (sikufanya jinai kama wapumbavu wengine wanafanya, eti unaua..).
Just after seperation, yule bwana alimtelekeza (labda ni kwa hofu ya kuingia matatani). The woman is getting life hardships now, mpaka anatia huruma.
Umeshanielewa, harafu nadhani unahitaji kumwomba Mungu akupe hekima, naona huna japo kibaka wako unamzidi umri.
Una jicho kaliMwandiko wa kiume huu...
Tena hasa ule ushauri utakaokwenda kinyume na matakwa ya moyo wake..!!! Anaweza hata akutukane..!!Nikwambie kwenye mapenzi hakunaga ushauri hata tukikupa huwezi fata
Mwisho wakielewana unaonekana ulitaka kuwatenganishaTena hasa ule ushauri utakaokwenda kinyume na matakwa ya moyo wake..!!! Anaweza hata akutukane..!!
Kabisa..!! Ogopa sana kuwapa ushauri wa kuachana watu wanaopumuliana ndani ya shuka moja..!!Mwisho wakielewana unaonekana ulitaka kuwatenganisha
Soma vizuri little miss.Judgemental and considering onself righteous.
Eti una ndoa takatifu utapoteza maisha bure uwaachie majuto ndugu zako kama umemchoka mume wako mwambie tu ,ila wanawake dah nina hofu nikioa sijui itakuajeHabarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.
Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.
Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.
Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.
Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.
His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].
For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...
He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.
Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.
Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.
Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .
Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].
Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?
Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.
Asanteni
Mi ndio natarajia kuoa lakini nimeumia sana sijui wanawake wakojeYani wanaume tuliooa tukiona hii post na kwa jinsi ulivyo msifia mmeo inatuumiza sana, hapo mpaka na imagine kama sasa ndio ungekuwa mke wangu halafu sijui aisee.
"It hurt so good"
Kaa na mme wako sisi wanaume tunaweza cheat lakini wanawake mki cheat tunaumia zaidi.