Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

kuna kitu kimoja kikubwa sana napenda kukushauri, amini usiamini, hakuna kitu hatari duniani kama kuharibu mahusiano kama yako. utajuta kwa miaka mingi sana, mambo yako mengi sana yataharibika unnecessarily, pia, huyo kijana utamponza na kumpoteza. hajielewi na hajui hatari yake.

kuna watu si chini ya wanne nawafahamu, wanajuta kuhusu hilo. mmoja ni mwanamke alikuwa anaiba ndoa ya mtu hiyohiyo, akazaa na watoto wawili, alikuja kumwagiwa tindikali sasaivi ni kipofu.

kuna mwingine sio mtanzania, alimwagiwa tindikali uso wooote umeharibika huwezi kumwangalia mara mbili though yeye alibahatika macho yanaona na anaweza kufanya kazi ila ukikutana naye unaweza kumkimbia.

kuna kakijana fulani walikuwa wanasema kahendisamu hivyohivyo wanakarusha hapo Moshi wanaomba msaada anahitaji milioni 100 akafanyiwe surgery India kwasababu alikuwa anatembea na mke wa mtu mwenye mali akafanya yake.

hao ni wale waliopona. ila kuna vichaa weengi tu mtaani hapa walitengenezwa kwasababu ya kuvamia nyuchi za watu.

utajisikiaje ukiishi huku ukijua ulikuwa sababu ya mtu mwingine kupoteza maisha au kuharibikiwa maisha kwasababu tu ya ngono? usisababishie watu matatizo. wanadamu wakiwa wazima huwa wanajiona wajanja sana wanajiona miili yao mizuri sana, wanajiona wanainjoy sana, ila kuna wakati utafika ambao hautajitamani na hakutakuwa na mtu yeyote anayekujali isipokuwa yule uliyetoka naye mbali. kama wewe una ujasiri kumuacha mume uliyefunga naye ndoa, huyo kijana atajiona yeye ni nani hata asiachwe? atakutumia tu na atajua hata yeye kuna siku atachinjiwa baharini. hawezi kukuthamini kama atakavyokuthamini mtu uliyefunga naye ndoa. ushauri huu unaweza kuuchukua au kuuacha. ila tunaomba msituletee michango hapa yakiwakuta yakuwakuta.
 
hyo loosen and depth ya iliyotoka watoto wanne inamaana kijana hakuiona,akiiiiiiiiiiiiii hatukuoi,imekaa like hutujui wanaume.we nyumbu RESPECT YOUR HUSBAND
 
Kilichobaki asikilize akili yake,lkn maushauri hapa inatosha,,,,,

N,b:huyo kijana n schoolmate wangu alinitangulia darasa moja primary.
 
Naomba taratibu za kuvunja ya ndoa ya kiserikari nishatibuliwa wangu huko anagawa tu laiti wangejua hamna zarau mwanaume hawezi kukubali kama kuchapiwa bc tunajizuia kuuwa
 
Huu ushauri asipoufuta amepotea
 
Usiteme bigijii kwa karanga za kuonjeshwa. Umesema mwenyewe uhusiano wako una uongo mwingi ambao kamwe hauwezi dumu, hujui huyo unayempenda Sasa akijua kuwa wewe ni mke wa mtu na unawatoto wengine zaidi itakuwaje?
Rudi kwa mumeo kwa kuwa Hana baya nawe..
 
Umalaya huanza hivyo hivyo.
Kama huwezi ku-control hisia zako, then utaishia pabaya maana next time utakutana na mwanaume mwingine ambaye anajua zaidi ya huyo; sijui utaolewa na wangapi. Mwisho watakutupa wote.
Kabla mmeo hajajua, achana na huyo kijana then katubu ujipatanishe na Mungu muumba wako, ule familia yako.
Fikiria leo mtoto wako wa kwanza, ambaye naamini yupo around 12 years, aje kujua kuwa umezaa na mwanamme mwingine asiye baba yake; itakuwaje!
 
Eti una ndoa takatifu utapoteza maisha bure uwaachie majuto ndugu zako kama umemchoka mume wako mwambie tu ,ila wanawake dah nina hofu nikioa sijui itakuaje
 
Mi ndio natarajia kuoa lakini nimeumia sana sijui wanawake wakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…