Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Asante. Hili naliwaza Ila pia nawaza atalipokeaje sio ataniacha kweli??. And my life without him is totally a mess dear [emoji24]
Umetumia condom maana wanawake mkipenda mnajitoa jumlajumla
 
Ur intelligent wengi wangekurupuka na wanawake walivyowaajabu angejifanya innocent na kulia kwingi mwisho we ndio unaonekana mjinga
 
Ur intelligent wengi wangekurupuka na wanawake walivyowaajabu angejifanya innocent na kulia kwingi mwisho we ndio unaonekana mjinga
Tusikatae njia ambazo Mungu anachagua kutuokoa, nilipata mateso sana ya kisaikolojia, ila am free now. Mpaka unasema haya yangatokea mapema nikaondokna na huo mzigo. Mke anakuletea mateso kuliko raha. Mfano, unaonaje ukiachwa usafiri mfano basi, na unataka kuwahi ili ufike somewhere kwa wakati, then later ukapata usafiri mwingine na baadae unalikuta basi lilokuacha limepata ajali na kuuwa abiria wote??? Nilikuwa nampenda yule mwanamke, alikuwa very beatiful, niliumia kufanya hayo aliyofanya, ila Mungu aliniweka free by high price.
 
we mama ni jambazi wa kimapenzi ! Hujataja kosa la mumeo hata moja, zaidi ya yote sababu iliyokupeleka huko ilikuwa kupanua wigo wa uchumi wa familia, kufika huko unarukia upuuzi kama huo tena mama wa watoto 5 bado tu hujawa na msimamo kama mke wa mtu!?????
Natamani hili kosa la kusaliti ndoa pasipo sababu lingeingizwa kwenye makosa ya ukatili wa kijinsia, maana wewe ukivinjari na tamaa zako kuna roho ya mtu hapo itaumizwa mithiri ya kuchinjwa kikatili!
Endelea na huo mpango lakini ujuwe laana hutaikwepa!
 
Kama si chai, natamani ningekuona five years baada ya kunywa sumu uluyoiandaa mwenyewe kwa fundi mkubwa
 
Wee oa tuu mwanawane....hapa duniani hamna mbususu yako peke yako
๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ

Wajuzi wameshasema kuwa ile ni sawa na (public) swimming pool. Kama unataka kuishi kwa amani na kutokufa mapema usijali walioogelea kabla yako, mnaoogelea nao wakati huu na watakaoogelea (nawe) wakati ujao! ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
 
Swadakta!!
Ile ni kama sahani, utailia, itaoshwa na watapakuliwa wengine wale.
 
Ukweli mchungu
 
Tukiwajumlisha wanawake 40 kama wewe ndio tunapata ng'ombe mmoja
 
Chura hebu ruka taratibu hayo unayoona mapenzi ni hisia zako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ