Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Tall guy tupigiwe mizinga 21 na JWTZ tafadhali [emoji16]
 
Aisee hatari sana ndo maana vijana wanaogopa kuoa
 
Kama ni wale wanaume uko Dar mwanamke yuko sijui Njombe "kikazi" au uko Mwanza mwanamke yuko Dodoma, ati ukaioa mwenye ajira "msaidiane maisha" ukweli ni kua hausaidiki lolote wanawake ni wabinafsi sana na hilo bila shaka umeshalitambua mpaka sasa.

Na pili hauwezi kuheshimiwa na utaishi kwa kutombewa mwanzo mwisho, ona mwanadada anasema yuko tayari kuivunja ndoa ila tu asimpoteze kijana, nini kinampa jeuri "ajira yake"

Poleni sana wanaume wa "naoa mwanamke mwenye ajira tusaidiane maisha"


Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi
 
Mwanamke mpumbavu,huvunja ndoa yake Kwa mikono yake mwenyewe
 
Uliwahi ona wapi Mwanaume anaoa mama wa watoto wanne na yeye hana hata mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mwanamke akiacha kutumia moyo akili zitamrudia alafu atajiona mjinga sanaa
Mkuu shangazi yetu kaliwa kimasihara afu anajiona penzini kaja anaomba ushauri badala angeweka simulizi yake kwenye uzi wako wa kuliwa kimasihara.
 
Mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe. Siku zote mnapigiwa kelele hamsikii wanaume wa nje uwapenda wanawake waliolewa kwa lengo la kupata cheap ngono.Wakishaachika na wa nje ukimbia nani abebe mzigo kwako alifata mteremko wa ngono.
 
Ndoa ni utii wa kiapo kwa kuyashinda majaribu ya ngono nje ya ndoa yako na sio kutokupata tamaa ya ngono. Umepata tamaa ya ngono suala lililobaki ni ww na utii wa kiapo chako.
Asante. Nitalifanyia hili kazi maana it is hard for sure[emoji26]
 
Reactions: Tsh
Hakuna mapenzi bali tamaa ya ngono hapo hio inaitwa first love ndio uwafanya wengi kukosea kuoa au kuolewa kwa kuvutwa na msukumo wa ngono. Ukiisha ingia tu kwenye ndoa inaisha utatamani mwingine.
 
Ukweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…