Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Dah naipenda jf kwa hizi story za kugegedana...yaani full raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh so hawa tall guys realy do fu.ck alot of ladies eeh au unasemaje Kelsea

Wee tulizana na ndoa yako. Watoto wanne ni wengi na akijua hawezi kukubali kukuoa. Hapa chakufanya ni just come clean mwambie mie nimeolewa we just having fun basi.
Tall guy tupigiwe mizinga 21 na JWTZ tafadhali [emoji16]
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children. Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi. Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza Kama Kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues .Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact Nilikuwa naona Ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome,... Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika,. Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work, Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri, his voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah,long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23]. For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7],hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven... He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single. Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu Ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God! . I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani,His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu. Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto. Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu??. Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him . Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu Ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu? Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.
Asanteni
Aisee hatari sana ndo maana vijana wanaogopa kuoa
 
Yani wanaume tulio oa tukiona hii post na kwa jinsi ulivyo msifia mmeo inatuumiza sana, hapo mpaka na imagine kama sasa ndio ungekuwa mke wangu halafu sijui aisee.
"It hurt so good"
Kaa na mme wako sisi wanaume tunaweza cheat lakini wanawake mki cheat tunaumia zaidi.
Kama ni wale wanaume uko Dar mwanamke yuko sijui Njombe "kikazi" au uko Mwanza mwanamke yuko Dodoma, ati ukaioa mwenye ajira "msaidiane maisha" ukweli ni kua hausaidiki lolote wanawake ni wabinafsi sana na hilo bila shaka umeshalitambua mpaka sasa.

Na pili hauwezi kuheshimiwa na utaishi kwa kutombewa mwanzo mwisho, ona mwanadada anasema yuko tayari kuivunja ndoa ila tu asimpoteze kijana, nini kinampa jeuri "ajira yake"

Poleni sana wanaume wa "naoa mwanamke mwenye ajira tusaidiane maisha"

Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children. Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi. Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza Kama Kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues .Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact Nilikuwa naona Ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome,... Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika,. Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work, Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri, his voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah,long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23]. For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7],hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven... He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single. Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu Ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God! . I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani,His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu. Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto. Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu??. Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him . Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu Ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu? Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.
Asanteni
Mwanamke mpumbavu,huvunja ndoa yake Kwa mikono yake mwenyewe
 
Uliwahi ona wapi Mwanaume anaoa mama wa watoto wanne na yeye hana hata mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu mwanamke akiacha kutumia moyo akili zitamrudia alafu atajiona mjinga sanaa
Mkuu shangazi yetu kaliwa kimasihara afu anajiona penzini kaja anaomba ushauri badala angeweka simulizi yake kwenye uzi wako wa kuliwa kimasihara.
 
Mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe. Siku zote mnapigiwa kelele hamsikii wanaume wa nje uwapenda wanawake waliolewa kwa lengo la kupata cheap ngono.Wakishaachika na wa nje ukimbia nani abebe mzigo kwako alifata mteremko wa ngono.
 
Ndoa ni utii wa kiapo kwa kuyashinda majaribu ya ngono nje ya ndoa yako na sio kutokupata tamaa ya ngono. Umepata tamaa ya ngono suala lililobaki ni ww na utii wa kiapo chako.
Asante. Nitalifanyia hili kazi maana it is hard for sure[emoji26]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hakuna mapenzi bali tamaa ya ngono hapo hio inaitwa first love ndio uwafanya wengi kukosea kuoa au kuolewa kwa kuvutwa na msukumo wa ngono. Ukiisha ingia tu kwenye ndoa inaisha utatamani mwingine.
 
Kama ni kweli bhasi Watoto wako nawaonea huruma kwa Idadi hiyo waliopo alafu Mungu kawapa mama tairaaa...!! Yani mama wa watoto wa nne unajali hisia zako na ufala wa romance sijui unataka kuwatelekeza wanao.????

Ndo maana vijana suala la kuoa hatutaki kulisikia kama mama watoto wanne anakuwa mjinga kiasi hiki si hatari sana. Ushauri Vunja ndoa yako potea badilisha namba za simu kaolewe upya.
Ukweli I am a great mother to them dear. Basi Tu nimeshikika dear, sikuwahi kuwaza nitafikia hapa, but I think hata nikiolewa na Kijana I can still be a good month to my beautiful children. like siwezi watelekeza dear.
 
Back
Top Bottom