Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Dear nimewaza kumuambia ukweli but wasiwasi wangu Ni kwamba atanikimbia na I am not ready kabisa dear.i wish like I can read his mind vile atalipokea kabla ya kumwambia. Maana I fear loosing him dear
 
Hii ni chai,lakini wanawake wajinga na wapumbavu wa aina hii pia wapo wengi tu huku kitaa,wanaotema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Lakini ndo uhalisia wa wapumbavu wengi, unakuta janamke linamleta hadi mwanaume mwingine kwenye kitanda chake cha ndoa. Then wakiachika kwa upumbavu wao uenda kumsumbua Mwamposa awape mafuta ya kumrejesha mume.
 
Nawaona wanavyofanywa hovyo hapa makao makuu.
Yaani wapo hivyo kaka ndio Tabia zao na Hawawezi kuacha kiuhalisia mwanamke anapenda ku+on&wa kupita maelezo, na wakikutana asilimia 80 ya maongezi Yao ni ngono tu na kuwa sifia ma bwana zao wanao wazagamua vizuri, yaani mwanamke akiwa na genye Huwa ana changanyikiwa ana kuwa kama mwehu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

So usijidanganye kwamba ktk maisha Yako unaweza kumpata mwanamke ambaye ha- cheat ni kujiongopea na kukosa utimamu wa kufikiri hata iwe ametulia vipi , Huwa ni swala la muda tu
 
But dear don't you think like he might run away from me after telling him the truth dear?[emoji26]. Is it not better to loose him later than now?.
 
Nimewaza hii ndio like tuwe tu sex buddies. But but I just can't imagine him marrying another woman baadaye huyu[emoji24].
 
Hahaha ndo wanawake walivyo we fanya kile unahisi ni sahihi kwako, watoto nne halafu bado kwenye maisha hujui unataka nini kisa tu ny*ge zako, kuna siku utajua hujui halafu utakuwa umechelewa sana
Kijana is confusing me dear[emoji26]. Nimewaza hili Sana but nasikia ndani sauti inaniambia maisha Ni Sasa ,ya kesho Wala sijali.
 
Dear hii nimewaza Sana. Ila Sasa moyo wangu inaniambia niishi sasa[emoji26]
 
Nimewaza hii ndio like tuwe tu sex buddies. But but I just can't imagine him marrying another woman baadaye huyu[emoji24].
Uo ni uchoyo, lakini its a female thing kuwa possesive so sikulaumu...kama ka kuaccept that una mtoto...atleast return the favour. Nyandua uyo kijana but let him be maanake lazma atakuja kujua... na reaction yake atakuchukia vibaya. kama ni zuzu wa mbususu na inavyoelekea ashapoteza fahamu za kiume...basi...hez your zombie. Ila usiwe hivyo
 
Hizo ni nyege force au first love subiria ziishe ndo ufanye maamuzi. First love ndo chanzo ndoa nyingi kuvunjika, wengi wanavutwa na ngono kuingia kwenye ndoa.

Dini zote na mila awakuwa wajinga kuweka makatazo watu wanaotegemea kuoana wasifanye ngono kabla ya kuoana Ili kuepusha upofu wa msukumo wa ngono,hata sayansi imethibitisha hili.

Maana ukifanya ngono na mtu huwezi zijua tabia zake zinajificha utazigundua ndoani ndo hapo majuto huja, majuto ndio uleta talaka na michepuko, yote ni first love.
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Hii issue kama ni serious Dada you need to repent kwa kumaanisha haswa na hakikisha unaenda kumuomba mumeo msamaha.Maana kurepent Kwa Mungu pekee yake haitoishi..Na nikuhaidi unaweza fanya hivi na bado ukashindwa kuhandle the situation maana bado utahitaji msaada.

Ukiwa na uhitaji wa kuachana na hili na uko serious na ni kwa namna ya Kiroho zaidi njoo pm..Utasemwa sana hapa but nikuhakikishie wengi wanahizi chembe chembe ndani ya DNA zao.(wengi wamezaliwa na huu uovu , kama sio wao kupitia hili basi watoto wao watapitia).
 
nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana . I feel him so deep jamani.
My ex wife ana story kama yako. Alifanya haya, ila alikutana na mme mwenye akili nyingi kumzidi yeye (mimi mwenyewe). Niligundua katika kipindi flan hivi hakuwa na interest na mimi, it was like kulikuwa na kitu nje ya ndoa kinafanyika na concentration na matumaini yake viko huko. Nilimdukua kwa muda wa miezi 6 and it was over.

Alikuwa na mwanamme kijana anayemzidi almost 8 years, walikuwa wapenzi wa kufa jitu, ok...nikamwacha bila kumwambia jambo na ndoa ikawa inaendelea, alifikia mwisho wake. Nili seperate nae kisheria, kiroho safi (sikufanya jinai kama wapumbavu wengine wanafanya, eti unaua..).

Just after seperation, yule bwana alimtelekeza (labda ni kwa hofu ya kuingia matatani). The woman is getting life hardships now, mpaka anatia huruma.

Umeshanielewa, harafu nadhani unahitaji kumwomba Mungu akupe hekima, naona huna japo kibaka wako unamzidi umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…