Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya...
Malaya usietosheka gunia tati za mkaa zinakuhusu
 
Mapenz yanaishaga shost,Kuna siku mtachokana utaregret kupoteza kete zote.Kama mume anajali bas mlindie heshima yake....mwambie ukweli huyo mpenz wako then hiyo itakusaidia wewe akili kukukaa sawa Kwa sababu lazima ataonyesha rangi zake zote then nawe utatambua kuwa ulichokiacha home ni Gold.

Kinachomfanya akuonyeshe mapenz yote ni Kwa sababu anajua wewe ni wake pekeyake.Jikaze aisee,vuka hapo cute ...I beg u.Wenzio hatujawahi bahatika wanaume wanaojali familia ndo maana tukakimbia.

Hicho chuma ni Cha kukibembeleza na kukihandle vyema ....mpendane mpaka mfanane mfe pamoja jamani.

Busara za wanaume wanaojali familia ni kuwa nao ucheat ila uheshimu familia zao Ivo usijedhani yeye hacheat...no ..anacheat na wanawake bora kuliko wewe lakini bado anakuheshimu.Rudi kwenye mstari tafadhali mlindie heshima usimuumize.Mapenz huchuja utajalia mom🙏
 
Dear shida yangu Ni je atakubali kuendelea na Mimi akijua ukweli??. Huu ndo wasiwasi wangu like atakubali kweli,??. Na akikimbia je?? Maisha yangu yatakuwaje??. Maana pia Ni mtu ameshika dini.
Yaani furaha yako inategemea kukamilishwa na mtu.Subiria kuumizwa
 
karamu mbili zilmshinda fisi,kupanga ni kuchagua,mshika mawili moja humponyoka,njia ya mwongo ni fupi
 
Dear shida yangu Ni je atakubali kuendelea na Mimi akijua ukweli??. Huu ndo wasiwasi wangu like atakubali kweli,??. Na akikimbia je?? Maisha yangu yatakuwaje??. Maana pia Ni mtu ameshika dini.
Ah wee hawezi kukimbia kama kweli the sex is mind blowing. Atakachofanya ni kwamba u will now be his sexmate huku akitafuta wife basi. Enjoy the 🍆 gal. Ukirudi kwa mume mle na watoto wenu. Ukiwa huku pata utam utam
 
Kijana anaponea tu K ya Bure hiyo akipata pisi kali mbichi atakuacha na mitoto yako. Kumbuka hakuna kijana wa kuoa single maza.
But dear it's not good calling these angels mitoto jamani. They are heaven sent and they don't connect at all with my wrong doing dear. Nimemuambia Kijana Nina mtoto but mmoja na amesema haoni shida kunioa na mtoto. Tatizo tu sijamuambia ukweli kwamba I have four of them na Holly marriage Hilo tu.
 
Dada umetutukanisha wadada wote tuliopo jf!!
It's either ni mpo mwanzoni mwa mapenzi I mean hata miezi 6 hamjafika or una ushamba wa mapenzi like umeolewa bado hujajitambua...

Achana na huyo kijana wallah am telling you. Stick with your lovely husband kabla hujaharibu ndoa yako kwa upumbavu wako!!!

Pole sanaa.. poor sister 🥺
 
Yule jamaa wa mwanza alipiga risasi mkewe....Yule wa Kigamboni alimchoma mkewe kwenye jiko la mkaa yule wa Sumbawanga sikujua aliuwa kwa staili gani. Nadhani mume wa huyu inabidi ambanike kama nyama ya mbuzi amle ndafu
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Unatuchezea akili. Hii ni fiction.
 
Unaona dhahabu sababu ni mpya. Ukiingia ndani huwa upya unapotea.
Ubakia mazoea tu
 
My ex wife ana story kama yako. Alifanya haya, ila alikutana na mme mwenye akili nyingi kumzidi yeye (mimi mwenyewe). Niligundua katika kipindi flan hivi hakuwa na interest na mimi, it was like kulikuwa na kitu nje ya ndoa kinafanyika na concentration na matumaini yake viko huko. Nilimdukua kwa muda wa miezi 6 and it was over.

Alikuwa na mwanamme kijana anayemzidi almost 8 years, walikuwa wapenzi wa kufa jitu, ok...nikamwacha bila kumwambia jambo na ndoa ikawa inaendelea, alifikia mwisho wake. Nili seperate nae kisheria, kiroho safi (sikufanya jinai kama wapumbavu wengine wanafanya, eti unaua..).

Just after seperation, yule bwana alimtelekeza (labda ni kwa hofu ya kuingia matatani). The woman is getting life hardships now, mpaka anatia huruma.

Umeshanielewa, harafu nadhani unahitaji kumwomba Mungu akupe hekima, naona huna japo kibaka wako unamzidi umri.
Dear thank for this let me keep reading until my inner Person accept and start seeing this maana kila nikijaribu kupima naona loss ya kumuacha Kijana aende Ni kubwa Sana. Mungu anisaidie pia.
 
Kucheat kupo lakn sio hadi kuwaza kuolewa na mchepuko.
 
Dear shida yangu Ni je atakubali kuendelea na Mimi akijua ukweli??. Huu ndo wasiwasi wangu like atakubali kweli,??. Na akikimbia je?? Maisha yangu yatakuwaje??. Maana pia Ni mtu ameshika dini.
Mtu umeshika dini unavua chupi na kukatika kiuno kwa mwanaume ambae si mumeo? Hiyo labda dini ya shetani.
Ndio maana JokaKuu huwa anasisitiza sana watu waoe mabikira. Mwanamke alietobolewa tobolewa kabla ya kuolewa ngumu sana kufunga miguu yake for long hata akiolewa.
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Jaman usije ukajaribu huo upuuzi.
Ukaache ndoa yako uloijenga kwa misingi na miaka kisa kijana jaman. Nakuhurumia dada
 
Back
Top Bottom