Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Asante. Hili naliwaza Ila pia nawaza atalipokeaje sio ataniacha kweli??. And my life without him is totally a mess dear [emoji24]
Ww ni malaya tuu hamna lolote,samahani kwa kutumia neno kali
 
Lakini ndo uhalisia wa wapumbavu wengi, unakuta janamke linamleta hadi mwanaume mwingine kwenye kitanda chake cha ndoa.
Then wakiachika kwa upumbavu wao uenda kumsumbua Mwamposa awape mafuta ya kumrejesha mume.
Ndio akili zao zilivyo hawa viumbe,ovyo kabisa
 
Sorry dear. Sikuwa na maana ya kuwaumiza Ila tu kutaka msaada wenu.
 
Mnapata raha gani kuja kuandika story za kutunga humu. This is a typical lie. Uongo kabisa. Hakuna reality katika hii story em fikiri upya andika tena.

Msipoteze muda na ukute ni dume limekaa likaandika hii takataka...
Umeliona pia!!
 
Huwa wanaelewa baada ya maji kuzidi unga
 
Hapo zinaongea akili au hisia.??? Kwanza hapo alafu ndio tuendelee mbele.
 
Malaya ni Malaya tu hawezi badili tabia hata ungepewa ushauri na mganga huwezi kubadilika maana tayari una malengo yako
But I didn't see it coming dear. Na sikuwahi cheat tangu nimeolewa I swear infact Nilikuwa nashangaa Sana kuona mwanamke ameolewa na anacheat namuona Hana akili kabisa, but now here I am dear[emoji26]. Drunk in Love and even ready to loose my Holly marriage. As long as Kijana will be close to me.
 
Mnapata raha gani kuja kuandika story za kutunga humu. This is a typical lie. Uongo kabisa. Hakuna reality katika hii story em fikiri upya andika tena.

Msipoteze muda na ukute ni dume limekaa likaandika hii takataka...
I swear dear it is my true story, Sina haja ya kutunga, na hata ukiangalia background yangu hapa utagundua situngi, I wish I can tag someone who knows me here but wacha nifanye personal, for my own privacy.
 
Fata moyo wako lakini una garantii ya huko future,
Naona unautamani usingle mother
 
Dear shida yangu Ni je atakubali kuendelea na Mimi akijua ukweli??. Huu ndo wasiwasi wangu like atakubali kweli,??. Na akikimbia je?? Maisha yangu yatakuwaje??. Maana pia Ni mtu ameshika dini.
 
Ama kwel ww n mlokole aliyechizika nakujua😷.......cha zaidi alichokuongezea kijana ni kuzama chumvini kwako ndo unamuona wa maana 🤣😅 sasa kuna sku atakuomba kwa mpalange nyau ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…