Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Asante dear. Nitafanyia kazi hili dear.
Kuna staff mwenzangu nae Yuko km ww,Ana umri 29 mwaka juzi kaanzisha mahusiano na staff mwenzake,kibaya zaidi huyo staff mwenzie ni mume wa mtu 41 years pia anawatoto wanne mdada watoto wawili,ameshindwa kujichomoa kwa mchepuko wake,kila wakipanga waachane jamaa anamrudisha kundini,shost anahaha avunje mahusiano kuhama hawezi basi kutwa anajutia kuaza kucheat,hakuwahi kucheat na aliolewa bikra,anadai alichokikuta kwa jamaa kwa Mr ake hakuna, wanawake kuchepuka hatuwezi kubalance hisia,kila akimuandikia mchepuko gazeti lamadhara yakuchepuka naameamua kuacha, mchepuko unajibu kirahisi tu nakupenda rose,kesi inaishia hapo,rafiki anajuta mno mno,alivochizi anamuonea wivu mchepuko kuliko kawaida hataki asogeleane na wanawake wengine, Pole kuchepuka kwa mwanamke nihatari zaidi,acha na ujikaze.
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
"ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri"


Nimejaribu kukuonesha wapi ulipokosea.
 
Acha hizo tamaa Dunia yamelemeta kwa macho!Uzuie moyo wako utatamani vingi na vingine haviliki.
 
Asante. Hili naliwaza Ila pia nawaza atalipokeaje sio ataniacha kweli??. And my life without him is totally a mess dear [emoji24]
Una maana mapenzi kwa mmeo na watoto yameyeyuka kabisa kwa ajili ya penzi la kijana?!
 
Naona umewaua kwa maneno watoto wako wa 3 na mmeo sasa kafanye kweli kawaue live ubaki na mmoja alafu ukaolewe na huyo mwamba

Usikubali kumpoteza, nenda kawauq hao wanao kutia kauzibe ubaki na bby wako mpya
mkuu kuwa makini anaweza weka SUMU akawaua kwelii...
 
Wanawake, wanawake, wanawakeeee!
Yaaani wanawakee....Au basi.
 
Hawa viumbe akili zao sawaa wotee haijalishi umri wao ndo maana lazima MWANUME AWE KICHWA CHA FAMILIA MKEO UMUONGOZE WEW... yani ana akili ya binti wa miaka 16 kabisa
Tumeelewana hapa sasa

Sisi tunahitaji kuongozwa
 
Siku akijua uyu jamaa hbr za uyu dada akiolewa mniite mbwa niko pale chini ya mti nasoma comment zenu😂😂
 
Mbona amesha waua kwa kutowataja kwA bwana ake mpya maana yake hawahitaji kwenye Maisha yake
😀 😀 😀 😀 😀amalizie awawekee sumu tu maana watakuwa kero kwenye mahusiano yake mapya.. WAUEEE NA BABA YAO abaki mmoja alafu uende nae kuolewa
 
Ama ni chai bora au ni Mithali 14:1

Case closed!
 

Attachments

  • luxury-tea.png
    luxury-tea.png
    20.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220808-065200_Swahili Bible Offline.jpg
    Screenshot_20220808-065200_Swahili Bible Offline.jpg
    31.8 KB · Views: 8
Nyie ndiyo mnafanya wengine tufikirie mara mbili mbili linapokuja swala la kuoa, lakini zaidi sana mnaliharibu sana hili taifa, linajaa watoto wenye majeraha ya kihisia na baadaye kupoteza muelekeo kwa sababu ya upumbavu wenu kama huu!

Bila aibu, unakenua meno hapa na kuonyesha namna ulivyo mpumbavu, ".... My husband loves me and takes a good care of us..." Pumbaaaaavu kabisa...
OGOPA VIUMBE HAWA WAKISHAJUA KINGEREZA HAWASHIKIKI WAKIKUTANA NA MUONGEAJI KINGEREZA CHA KIKENYA WANAPAGAWA WAKIKUTANA MUONGEAJI KINGEREZA CHA KINYARWANDA SHIDA SASA AMEKUTANA NA PROJECT MANAGER NA NDIYO ANAYESIMAMIA HUO MRADI MARA ANASEMA GHARAMA ZA KUMUACHA MUMEWE AMBAYE WAMEZAA NAYE WATOTO WANNE NI NDOGO KULIKO GHARAMA YA KUMUACHA BOSS WAKE POOR YOU
 
Back
Top Bottom