Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Amechemka wapi Demi.Umepata kichaa cha aina yake binti. Kwasasa hutashaurika hadi hapo litakapo kukuta la kukukuta.
Ila nawe umechemka kuna sehemu umeniudhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechemka wapi Demi.Umepata kichaa cha aina yake binti. Kwasasa hutashaurika hadi hapo litakapo kukuta la kukukuta.
Ila nawe umechemka kuna sehemu umeniudhi.
Hii inaashiria you never loved your husband dearly from the very very start. Ulimkubalia kwa kuwa alikuwa anapush mambo yaende haraka.Dear hii nimewaza Sana. Ila Sasa moyo wangu inaniambia niishi sasa[emoji26]
Exactly, Na hata akimkubalia huyo kijana akaja akakutana na mkuyenge mwngne wa maana atasizi tena coz naona kampendea vitu ambavyo vijana wa sasa wengi tunavyo, lkn kwa karne hii kupata mwananume anaemjali kama alivyosema namna mme wake anamjali sio rahisi.Tatzo sio kumpenda.
Tatzo hukuwahi onja vya nje ya box
Hahahah mkuu nikupe mkono wa pongezi you really have ballsMy ex wife ana story kama yako. Alifanya haya, ila alikutana na mme mwenye akili nyingi kumzidi yeye (mimi mwenyewe). Niligundua katika kipindi flan hivi hakuwa na interest na mimi, it was like kulikuwa na kitu nje ya ndoa kinafanyika na concentration na matumaini yake viko huko. Nilimdukua kwa muda wa miezi 6 and it was over.
Alikuwa na mwanamme kijana anayemzidi almost 8 years, walikuwa wapenzi wa kufa jitu, ok...nikamwacha bila kumwambia jambo na ndoa ikawa inaendelea, alifikia mwisho wake. Nili seperate nae kisheria, kiroho safi (sikufanya jinai kama wapumbavu wengine wanafanya, eti unaua..).
Just after seperation, yule bwana alimtelekeza (labda ni kwa hofu ya kuingia matatani). The woman is getting life hardships now, mpaka anatia huruma.
Umeshanielewa, harafu nadhani unahitaji kumwomba Mungu akupe hekima, naona huna japo kibaka wako unamzidi umri.
Itabaki siri yangu 😃😃Amechemka wapi Demi.
Ndio shida ya kuoa msichana bikra akiwa na miaka 23 lazma mbeleni mtibuane tu 😂😂😂 anakua hanaExactly, Na hata akimkubalia huyo kijana akaja akakutana na mkuyenge mwngne wa maana atasizi tena coz naona kampendea vitu ambavyo vijana wa sasa wengi tunavyo, lkn kwa karne hii kupata mwananume anaemjali kama alivyosema namna mme wake anamjali sio rahisi.
Hio sio love, ni excitement tu yenye ushamba ndani yake
Mbona kama unafungua code dear Emoj. Keep some information to yourself.The bad thing is my husband is not old ,he is making 38years next month.
I miss you dear. Sio kwa kunichunia huko. Ninaomba hiyo siri PM😀😀😀Itabaki siri yangu 😃😃
Kaka kwema?
Kuna Wanawake hawapendi Wanaume wapole na watiifu kwao,wanapenda wale Wanaume wanaowapiga matukio hadi wanakua na ma stress kibao hadi muda wa ku cheat hawana jinsi wanavyo teseka na mapenzi!!
Karibu nikupe siriI miss you dear. Sio kwa kunichunia huko. Ninaomba hiyo siri PM😀😀😀
Dear MILF umeingia mtegoni mwa kijana, af na mie huwa naombea nipate hz MILF za dizain hii. Haikuchuni lkn unachakata tu. Hawa slay queen wanatufilisi bure. Anyway usimuache mume wako. Caring men we're getting rare nowadays. Huyo kijana mfanye awe tu 'fvck buddy' wako endapo mme wako hakuridhishi, lkn kumuacha kabisa mme wako ni upuuzi kiwango cha SGRHabarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.
Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.
Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.
Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.
Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.
His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].
For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...
He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.
Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.
Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.
Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .
Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].
Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?
Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.
Asanteni
Badilisha Avat inaonesha haina u-serious mtu akiangalia haraka harak.Like for real dear?. .. but I am not dear. This one I swear.
I am coming 🏃♂️🏃♂️Karibu nikupe siri
Cum on 🤣🤣I am coming 🏃♂️🏃♂️
Tupo. Nipe number nikutumie Voice note.Vijana wa hivyo wanapatikana wapi ? Nauliza tu
Eti Evelyn Salt
Sio cum ile nyingine tafadhali😏😏Cum on 🤣🤣
Hawa wengi wanapigwaga sana kwenye umri wa late 30's na kama wanajiweza basi ndo huanza kuomba talaka. Huyu mtoa mada inaonekana ni group hilohiloNdio shida ya kuoa msichana bikra akiwa na miaka 23 lazma mbeleni mtibuane tu 😂😂😂 anakua hana
experience ya mapenzo akiotewa na muhuni tu lazma azuzuke. Chalii anampakia mkongo yani mixa mtoto kudata kisenge.
Mpo lakini mnajidaiiii😏Tupo. Nipe number nikutumie Voice note.
Hapana dear. Mimi sijidai. Trust me.Mpo lakini mnajidaiiii😏