[emoji12] [emoji12]Nasubiria na Mimi wng aje
Huyu ni yule tunae mjua mimi na wewe, lakini hapa ametumia ID mpya ili msifukue makaburi yake....[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Sawa mkuu ngoja nianze kuuandaaMkuu...
Naomba nami uniandikie uzi plizzzz
Tayari nomekutumia maneno mengine kule piem....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Sawa mkuu ngoja nianze kuuandaa
Asante mkuu...Putin alinisaidia sana leo kufikisha ujumbe wangu kwa kipendacho roho kama sabrina, nami namtakia kila la kheri,
Mmekazana multiple ID'S Mimi ni mima na Putin ni Putin nyie vipi kwani mbona mmeng'ang'ania hivyo kwani ajabu sana Mimi kumuandikia yeye alafu na kwa nini sisi mnatung'ang'ania na habari hizi kwamba MTU mmoja kwani Putin hastahili kuwa na mpnz au Mimi mima sistahili khaaa mmezidi sasa...Mulitiple ID's
una weza kuta ni mtu mmoja uyu!!
Cc.mods embu unganisheni izi ID tujue mbivu na mbichi isije ikawa ndo kammambo ya Husna the bosslady
Hivyo eeeeh haya endeleeni kukalia hayo hayo.Kujichekesha na kujitekesha mwenyewe huku..
Since 2017 nov 24.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hiv november 24 ndio september 24... Wajuvi watanijuza hapa, mie shule nilikuwanajua kujumlisha na kutoa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23], ya msondo nikamuachia ngurumo..Hivyo eeeeh haya endeleeni kukalia hayo hayo.
Unazani Mimi ni mgeni humu .eti kisa September 24 acheni ushamba wenu wa kucreamisha maisha.Maisha hayana formular
OK nimekosea unamaanisha hiyo September hivi kuna mwenye ID isiyokuwa fake humu na kama hakuna kwa nini uning'ang,anie Mimi mgeni unajua nilipoanzia khaaa wee vipiHiv november 24 ndio september 24... Wajuvi watanijuza hapa, mie shule nilikuwanajua kujumlisha na kutoa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23], ya msondo nikamuachia ngurumo..
Basi bibie hatugombani mrs putinOK nimekosea unamaanisha hiyo September hivi kuna mwenye ID isiyokuwa fake humu na kama hakuna kwa nini uning'ang,anie Mimi mgeni unajua nilipoanzia khaaa wee vipi
tufanye OK nimekosea hiyo September haya ndiyo hiyo November OK nani ambae si fake humu acha ujuaji weweeeee usitake kunifanya mjuI kuliko wajuaji wenyewe....sasa ni hivi iwe December ,October November haijalishi ni mwezi upi ila nilichokiandika nimaanisha na ndio ukweli waambo upooo mpendwaaaHiv november 24 ndio september 24... Wajuvi watanijuza hapa, mie shule nilikuwanajua kujumlisha na kutoa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23], ya msondo nikamuachia ngurumo..
Mmmmmhh eeeeeehBasi bibie hatugombani mrs putin
[emoji23] [emoji23]
Unaguna nin sasa bibie.. mupenzi ya putini yenyewe.. mwaka huu moscow inakuhusu bibie au sio.Mmmmmhh eeeeeeh
Nipo mpendwa..tufanye OK nimekosea hiyo September haya ndiyo hiyo November OK nani ambae si fake humu acha ujuaji weweeeee usitake kunifanya mjuI kuliko wajuaji wenyewe....sasa ni hivi iwe December ,October November haijalishi ni mwezi upi ila nilichokiandika nimaanisha na ndio ukweli waambo upooo mpendwaaa
Isije kuwa aina mpya ya Bongo MovieAya Mambo Ya Kuanikana Kuanikana Humu
Badae Tutakuja Shikana Mashat
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Hata Mim Naith IvyoIsije kuwa aina mpya ya Bongo Movie
a-kitoto totoooAya Mambo Ya Kuanikana Kuanikana Humu
Badae Tutakuja Shikana Mashat