Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Angalia! Kumbuka mwanamke cku iz ni kama daladala![emoji28][emoji28][emoji28]. Mwenywe tu apa nikiangalia record yangu inaonyesha mpk xaxa nishapanda kama 103 na bado naendelea kutafuta wengine! Kati yao nimewa mimba 47 na kuwaambia wasunisumbue mzigo sio wangu!! Ila kwa sasa natafuta wa kufunga nae ndoa kama vp!! Nmetosheka za kudonoa donoa! Kama uko single inbox faster ila uwe below 20 yrs

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oyoooooooooooo, kwenye kamati naomba niwepo,
lakini usisahau ile kizuri kula na nduguyo yakheeee..... [emoji3]lol.
 
Umenena ukweli. Hawa ni vibaraka wa mwarabu wanaotaka kutuingiza kwenye mtege wa kitoto ili nao tuwashabikie. Akili zao za kitoto sana. Alipoanza kuandika tu nilijui kuwa ni jamaa wale wa kuvaa makanzu ( Vibaraka vyam mwarabu) na propaganda zao.
Unagombana na nduguyo kisa Muarabu na Muisrael, huu ni ujinga uliopitiliza!
Hyo tabia ya kusifia sifia wanaume zenu imewagharimu wengi sana. Take care, kuna wenzio humu hawajawahi kufurahi tangu wameletwa kwenye uso huu wa Dunia hii. Unavyowatamanisha hivi mwishowe wanakwenda kumtia majaribuni mwandani wako.

Kwa taarifa yako adui wa demu ni demu mwenzie. Leo hii ukiingia inbobo kwa hyu Putin wako watu washam DM hadi bhaas. Na lazima aachie. Ssi wanaume huwa haturembi, tunabakwa kirahisi sana.

Binasfsi mm nishabakwa sana na marafiki wa madem zangu na sababu kubwa ni hzi sifa za kijinga! Kama jamaa yako anakupa raha baki nayo rohoni mwako. Ukiwatangazia mashostito ni lazima wakulize, shemeji nyingi sana na mwisho wake wanazima taa! Wee kalagabaho.
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Mkuu nimekukubali....grt thinker

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…