Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Mapenzi yaliyojengwa katika misingi ya ngono, lifetime yake huwa ni ndogo sana. Hongereni sana!!
 
Hakuna malaika mwanamke... Malaika wote ni wanaume....
Malaika hayuko weak kama binadam... Ushauri wangu muache kufananisha vitu vyenye athiri ya dhambi na vitakatifu....
Wanaume ndo hawako weak.. Acha kufananisha malaika na vitu vya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…