Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Aiseeeeee siku zote unajua kuni surprise dear !!!.

Kinachonimaliza ni uwezo wako wakua wazi na kutambua mchango Wangu toka siku yakwanza tuliposhikana mikono !!.

Yakuongezea ninayo mengi namapya LKN kwasasa mapenzi yangu kwako nayaweka katika matendo tu.
 
ID YAKO INA MWEZI MMOJA TU.ULIPO JIUNGA UKAPATA KIDUME JF.
NA HII NDIYO POST YAKO YA WASIFU WAKO.ONGERA
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Mimi simgeni humu ni mwenyeji sana tu before akaunti hii nilikuwa Nayo ya awali
 
Tunashukuru kwa taarifa, nimefurahi umeweza kusema hisia zako wazi wazi na kurudisha fadhila kwa mema unayofanyiwa, hiyo ni tabia ya mtu muungwana, ila isije ikawa nia yako ni ovu, ya kumzuia huyo mdau asipate mdada mwingine.
Hahahahaha..
Mbona hata me ni wangu jaman Putin ndio kaamua kutufanyia hivi
Mi [emoji144] [emoji144]


Cc Smart911
 
Hiyo jomoni ndo ujinga gani???
Yani nimeishia hapo hapo kwenye hiyo jomoni nimehairisha kusoma post yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…