Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Lazima wapeane si ni hubby & wifeInna alimuahidi papa inawezekana yupo kula saiz
kweli kuna watu hawana jema kweli.mimisijari challenge zao nachojali nimeeleza hali halisi ..nimejipanga my ntapambana nao.Lakini pia Subiria challenges my dear. Kuna Watu hawana jema kabisa humu. nakuomba uwe namoyo mvumilivu tu mamy otherwise utajikuta na waliokua marafiki zako automatically ni maadui. Nahuyo putin nae namuombea awe na msimamo na asiwe na tamaa. God bless you two.
Cc Smart911
Tafuta kiti ukae utachoka migYana mwisho
tafuta kitu ukae utachoka miguu kwa kusubiriYana mwisho
Mi sijamkatisha tamaa ujue ila nimeandika kwa kumaanisha tofauti na ulivyowaza
Mi sijamkatisha tamaa ujue ila nimeandika kwa kumaanisha tofauti na ulivyowaza
Umewaza mbali sana rafiki tofauti na mimiTafuta kiti ukae utachoka mig
tafuta kitu ukae utachoka miguu kwa kusubiri
Hili Ndio Beef LasagnaMhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Mshafunga ndoa?Sanaaa jamanii kuwa uyaoneeee
Kama kina nani vileeee??Muda si mrefu mtaanza zile CC? [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Tunaelekea hukoMshafunga ndoa?
Dada moyo wako unaonekana una mengi ya kusema juu ya smart mzee baba ..Lakini pia Subiria challenges my dear. Kuna Watu hawana jema kabisa humu. nakuomba uwe namoyo mvumilivu tu mamy otherwise utajikuta na waliokua marafiki zako automatically ni maadui. Nahuyo putin nae namuombea awe na msimamo na asiwe na tamaa. God bless you two.
Cc Smart911
Kila la kheri.Tunaelekea huko
Kwenye nyayo huwa hatutoi mrejesho, tunahofia kuwavunja moyo wenzetu.Siku ukiachiwa unyayo tuna kukaribisha utupe mrejesho
Sina la kaongeza hapo mkuu. Nimemaliza na sitaki ugomviDada moyo wako unaonekana una mengi ya kusema juu ya smart mzee baba ..
Naona anashobokewa sana na nyuchi humu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]