Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Lakini pia Subiria challenges my dear. Kuna Watu hawana jema kabisa humu. nakuomba uwe namoyo mvumilivu tu mamy otherwise utajikuta na waliokua marafiki zako automatically ni maadui. Nahuyo putin nae namuombea awe na msimamo na asiwe na tamaa. God bless you two.

Cc Smart911
kweli kuna watu hawana jema kweli.mimisijari challenge zao nachojali nimeeleza hali halisi ..nimejipanga my ntapambana nao.

Asante kwa busara zako
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Hili Ndio Beef Lasagna

Jf Mnafatilia Mambo Jaman Kaaaaaaaahhhhh
 
Lakini pia Subiria challenges my dear. Kuna Watu hawana jema kabisa humu. nakuomba uwe namoyo mvumilivu tu mamy otherwise utajikuta na waliokua marafiki zako automatically ni maadui. Nahuyo putin nae namuombea awe na msimamo na asiwe na tamaa. God bless you two.

Cc Smart911
Dada moyo wako unaonekana una mengi ya kusema juu ya smart mzee baba ..
Naona anashobokewa sana na nyuchi humu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sina la kaongeza hapo mkuu. Nimemaliza na sitaki ugomvi

Cc Smart911
 
Du!!! Kweli Christmas imebakiza week moja naanza kuona dalili
 
Back
Top Bottom