Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Tamama .Mbona hata me ni wangu jaman Putin ndio kaamua kutufanyia hivi
Tatizo watu ni wabishi sana .Mimi simgeni humu ni mwenyeji sana tu before akaunti hii nilikuwa Nayo ya awali
Thanks too mama yangu !!!thank you baby
Itapendeza akitoa mrejesho ili na wengine tujifunze.Kwenye nyayo huwa hatutoi mrejesho, tunahofia kuwavunja moyo wenzetu.
Mzima lakini best
Hahahah! Huo mrejesho hasi utausubiri sanaItapendeza akitoa mrejesho ili na wengine tujifunze.
Mi mzima. Vip wewe?
Hahahaha Pacha ,,niaje?.Nasubiri na mimi kuwafanyia Suprise nadhani nitapigwa na Ban kabisa.
Nawatakia kheri ila haya mambo haya tabirikiHahahah! Huo mrejesho hasi utausubiri sana
Hii ndo raha ya jf watu wale wale wanatongozana upya kwa id mpyaMimi simgeni humu ni mwenyeji sana tu before akaunti hii nilikuwa Nayo ya awali
Shemmmmm acha watu wabebishane[emoji7] [emoji8]Hii ndo raha ya jf watu wale wale wanatongozana upya kwa id mpya
Hapa pana walakini,huoni bi dada kajificha kwenye id mpya.Nawatakia kheri ila haya mambo haya tabiriki
Umegundua hiloHapa pana walakini,huoni bi dada kajificha kwenye id mpya.
Anyway twawatakia penzi jipya jema
Hivi lkn nani kakuficha ile mida yetu au shem nn[emoji40] [emoji40]Hapa pana walakini,huoni bi dada kajificha kwenye id mpya.
Anyway twawatakia penzi jipya jema
Shem si unajua ugonjwa wangu lakini? Yaani hawa wameshaniamshia ugonjwa wangu,kuna uzi mwingine pia nimeona wa barua kwa mama sabrina.....kwali wanafj wataniua kwa wivu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Shemmmmm acha watu wabebishane[emoji7] [emoji8]
Inategemea na ubora wa bidhaa...sitegemei bidhaa yenye ubora wa hali ya juu kama itanipa hasara kwenye hiyo stock yangu uliyosema.Ni hatari sana kuifanyia matangazo makubwa bidhaa moja tu kwenye stock yako. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna siku utaelewa labda kama unaruhusu "one day test for free "
Sikupi angalizo lakini nitatoa mrejesho wangu soon nakaribia kutest [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nimefurahishwa na ulivyomalizia waraka wako sijui umemaanisha nini.
"From to Mima wa Vladmirovich"
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna aliyenificha ila kila nikija ugonjwa wangu wa wivu unaamkaga nikikuona unabebishana na Ivunga [emoji12] [emoji12]Hivi lkn nani kakuficha ile mida yetu au shem nn[emoji40] [emoji40]
Haaaahaaah!!!Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Not true .....Huyu mwanamke nachompendea ,niupendo wake wakua Wazi ,,ujue yupo open sana mpaka wakat fulan najiuliza nini nimtendeee km shukran zakutambua uwepo wake !!!.Ni hatari sana kuifanyia matangazo makubwa bidhaa moja tu kwenye stock yako. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna siku utaelewa labda kama unaruhusu "one day test for free "
Sikupi angalizo lakini nitatoa mrejesho wangu soon nakaribia kutest [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nimefurahishwa na ulivyomalizia waraka wako sijui umemaanisha nini.
"From to Mima wa Vladmirovich"