Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Ni hatari sana kuifanyia matangazo makubwa bidhaa moja tu kwenye stock yako. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna siku utaelewa labda kama unaruhusu "one day test for free "
Sikupi angalizo lakini nitatoa mrejesho wangu soon nakaribia kutest [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Nimefurahishwa na ulivyomalizia waraka wako sijui umemaanisha nini.

"From to Mima wa Vladmirovich"
 
Inategemea na ubora wa bidhaa...sitegemei bidhaa yenye ubora wa hali ya juu kama itanipa hasara kwenye hiyo stock yangu uliyosema.

Kuhusu hapo mwisho mkuu hivyo hivyo uyltakavyoelewa acha ibaki hivyo tu.
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
c130e93e10e770e81e1244b62e58e87a.jpg
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Haaaahaaah!!!
 
Ni hatari sana kuifanyia matangazo makubwa bidhaa moja tu kwenye stock yako. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna siku utaelewa labda kama unaruhusu "one day test for free "
Sikupi angalizo lakini nitatoa mrejesho wangu soon nakaribia kutest [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Nimefurahishwa na ulivyomalizia waraka wako sijui umemaanisha nini.

"From to Mima wa Vladmirovich"
Not true .....Huyu mwanamke nachompendea ,niupendo wake wakua Wazi ,,ujue yupo open sana mpaka wakat fulan najiuliza nini nimtendeee km shukran zakutambua uwepo wake !!!.

You see ??? Nahii ndo sababu kwann mapenzi ya wazungu yananoga lkn wabongo hayanogi ,unajua kwann ???? .. Wazungu niwapo open sana linapokuja suala LA mahusiano .

Wabongo mpaka kua Open ,inadhihirisha namna gan kajikomiti ,nasi humu tuuu hata nje yahumu !!!.... For really she is a woman ambaye any man lazima apige goti nakushukuru .

Sasa kuhusu tangazo LA bidhaa mojaa,, sikuungi mkono ndo maana "Whitedent" ndo dawa inayoongoza mpaka Leo .

Kuhusu from to .........nityping error ambazo alilenga isomeke ivi
*From Mima to Putin* au *from Mima Wa Putin*.
 
Back
Top Bottom