Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

umeona mke mwenzangu yahni mpaka inachekesha.tatizo hawana msimamo na hawajui wanchokitafuta ndio hivyo wanakalia kusema oooh ujue ukitendwa ulete mrejesho Mara hivi Mara vile wacha wameze hivyo hivyo ingawa ni ngumu kumeza hii lakini hakuna namba.wamekaaa kuombea watu mabaya tu ndio wanaloliona.
 
Aliyeniroga huo ugonjwa keshakufa, hivyo nitaendela kuteseka na haka ka ugonjwa kangu ndo maana nawasihi mpunguze mibebishano jamani
[emoji30] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] shem duuh
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Hahahah
 
Wengine eti umetongozwa wiki mbili umeshaliwa na mzigo hivi utiwe wewe wao wazungushe mauno inahuuuuuu

Msalimie mtoto wetu na niwatakie mechi njema ijayo ukiwehuka tena tupe mrejesho km siku ileeeee
 
Wengine eti umetongozwa wiki mbili umeshaliwa na mzigo hivi utiwe wewe wao wazungushe mauno inahuuuuuu

Msalimie mtoto wetu na niwatakie mechi njema ijayo ukiwehuka tena tupe mrejesho km siku ileeeee
salami zimefik
Wengine eti umetongozwa wiki mbili umeshaliwa na mzigo hivi utiwe wewe wao wazungushe mauno inahuuuuuu

Msalimie mtoto wetu na niwatakie mechi njema ijayo ukiwehuka tena tupe mrejesho km siku ileeeee
salami zimefika nae anakupa hi mom mkuu wake....teeeeena maana inayofata sasa ndio ligi kuu ile iloyopita nusu fainal naachaje kuleta mrejesho kwa mfano ....watafute panadol tu kupunguza maumivu yakizidi wamuone daktari
 
Wengine eti umetongozwa wiki mbili umeshaliwa na mzigo hivi utiwe wewe wao wazungushe mauno inahuuuuuu

Msalimie mtoto wetu na niwatakie mechi njema ijayo ukiwehuka tena tupe mrejesho km siku ileeeee
Mke mkeeeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndomaana siishi kukupenda ..hauna wivu yan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…