Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Mima white cute

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
740
Reaction score
1,305
Hallo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Jomoniii mnisamehe bure napopata muda kama hivi naleta mrejesho kwenu wana JF .Ni kuhusu mahusiano yangu na Mr Putin niliyekutana nae humu Jf.

OK nafurahia sana na nainjoi mapenzi yangu na mwanaume huyu niliyokutana nae huku JF mwanaume kwenye kila aina ya vigezo vya kunimiliki mwanamke kama Mimi.Sina nachopungukiwa tangu niwe naye unajua kunifanya nijihisi mwanamke aliye kamilika...Aiseee kuna wanaume wanajua kushow loveee jamaniiiii mpaka najihisi malaika now..Asante mungu kunikutanisha huku na mwanaume wa ukweli unaenjua mwanamke unataka nini na kwa wakati upi.

Umeongeza furaha Mara dufu kwenye maisha yangu na kunifanya nijione mwanamke niliyekamilika.Sijutii kukufahamu naridhika na huduma zako,Utanashati wako,unavyojua kunishauri mambo mema mwisho kabisa unanimalizaaaa kwenye mambo yetu yaleeee....uwiiiii yelewiiiii acha niishie hapa.

Kifupi sijawahi kujutia kukufahamu,Sijawahi kujutia mapenzi yako kwangu.

From to Mima wa Vladmirovich putin
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
 
Back
Top Bottom