Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Nilikuwa nasubiri mgombane nichukue nafasi kumbe ndo kwanzaaa penzi mubashara,,

Nimegundua humu kuna watu wamejawa wivu na roho mbaya hawataki mtu ushushe Uzi wa raha na kubebishana km huu kazi kufatilia ID mpya au ya zamani jf acheni uchawi haswa haswa wanawake km hubebishwi huko ulipo nenda kwa sangoma au funga maombi kwa Mungu wako umpate wa kukubebisha ukiona hizi mada zinakufanya kalio liwashe washe pita bila hata kutia shombo kwenye nyuzi za watu

Mima tunyooshe ila mumeo nae huyo ana wengi we kaba Linda na shambulia ataepatwa na shambulizi mfukie tu hakuna namna ke nyingi humu zimejaa roho nyeusi km wachawi wa gambosh shenzi zenu mxiiiiieeeeeewwww
umeliona hilo kapeace.yahn ukishaandika nyuzi humu za kubebishana na mupenzi utashangaa watu visimi vinawasimama hatariiii.

VP lakini uko poa mambo niaje nimekumiss.
 
Shem hivi kwanini na wewe usifungue uzi wa kumbebisha rafiki yangu hapa.
Ila siku ya kuufungua huo uzi unambie mapema ili nilog out kwa muda
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] It is good ila nakutakia mema shem wangu unaweza ukauona tena kama guest user...tena hivi na wewe ni 'JF Addict' usije ukajifia bure kisa tu mimi kubebishana na Ney
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Santeeeeeeeeee

Cc Smart911
[emoji7] [emoji7] [emoji7] kabeni himaya zenu
 
Thank you!...[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]..my profile pic justifies!
 
Hahhaaaa ngoja nimwite
Saint Ivuga kuna mdada huku kakupenda njoo anaitwa Thad
Uyo mwingine ntakutajia mida yetu sahz wachawi wengi
Ohooo! Best hutaniwi? Au unampima imani shemeji yangu? [emoji12] [emoji12]

Leo nitafungua geti mapema ili uje kuninong'oneza
 
umeliona hilo kapeace.yahn ukishaandika nyuzi humu za kubebishana na mupenzi utashangaa watu visimi vinawasimama hatariiii.

VP lakini uko poa mambo niaje nimekumiss.
Ninekumiss pia mke mwenza

Wakiona tu mtu mnabebishana anakuja pm eti Fulani ni nani yako swali limekaa kichoko kabisa wewe nani kuuliza maswali hayo ya kunya ID fake na wewe muulizaji ID fake na anaeuliziwa ID fake Bado k inakukauka kisa kapeace au mima

Umetuonyesha kubebika mubashara basi tuigilizie mtu anaanza mafukunyuzi anaefukunyua mwenyewe ID fake aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km sio uchawi ni nini!!!!

All in all nawaombeeni sana muendelee kuumisha watu roho kuna wengine nimeona wanasema ukitendwa utupe mrejesho hao ndo wapashkuna wenyewe kuombeana mabaya ili waanze kucheka natamani niwakoe ujue binadamu kufurahia kilio cha binadamu mwebzio ndo uchawi wenyewe na hizi roho tunazo sana wanawake na wanaume km mabinti
 
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] It is good ila nakutakia mema shem wangu unaweza ukauona tena kama guest user...tena hivi na wewe ni 'JF Addict' usije ukajifia bure kisa tu mimi kubebishana na Ney
Kila la heri wapendwa wangu,nitafurahi siku akina jje's na Inna wakinisimulia mtakavyokuwa mmebebishana mubashara.

Kwa kweli mimi sio mlevi wa jf,hivyo naweza kabisa kuwapisha hata mwezi mbebishane kwa amani [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
shem usitupishe nafurahi uwepo wako huku JF
 
Ninekumiss pia mke mwenza

Wakiona tu mtu mnabebishana anakuja pm eti Fulani ni nani yako swali limekaa kichoko kabisa wewe nani kuuliza maswali hayo ya kunya ID fake na wewe muulizaji ID fake na anaeuliziwa ID fake Bado k inakukauka kisa kapeace au mima

Umetuonyesha kubebika mubashara basi tuigilizie mtu anaanza mafukunyuzi anaefukunyua mwenyewe ID fake aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km sio uchawi ni nini!!!!

All in all nawaombeeni sana muendelee kuumisha watu roho kuna wengine nimeona wanasema ukitendwa utupe mrejesho hao ndo wapashkuna wenyewe kuombeana mabaya ili waanze kucheka natamani niwakoe ujue binadamu kufurahia kilio cha binadamu mwebzio ndo uchawi wenyewe na hizi roho tunazo sana wanawake na wanaume km mabinti
Umeandika kwa hisia sana mke Wangu mkubwa !!!.

kweli watu waache unyakuzi ..humu JF kuna mtu anatumia ID original ????? Nkama nihapana ,,kwann oohhhh 24 November ...ooohhhhh Multiple ID , kila aina ya kisanga kinasemwa ...

* Maajabu ya JF ,,kuna myuzi humu ,,watu wakiandikiana Basi hutoona sijui cha ID fake wala nini ,, sasa sijui ivi JF ,kuna watu ndo wanaotakiwa tu kuandikiana na kubebishana*
 
Back
Top Bottom