Ninekumiss pia mke mwenza
Wakiona tu mtu mnabebishana anakuja pm eti Fulani ni nani yako swali limekaa kichoko kabisa wewe nani kuuliza maswali hayo ya kunya ID fake na wewe muulizaji ID fake na anaeuliziwa ID fake Bado k inakukauka kisa kapeace au mima
Umetuonyesha kubebika mubashara basi tuigilizie mtu anaanza mafukunyuzi anaefukunyua mwenyewe ID fake aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km sio uchawi ni nini!!!!
All in all nawaombeeni sana muendelee kuumisha watu roho kuna wengine nimeona wanasema ukitendwa utupe mrejesho hao ndo wapashkuna wenyewe kuombeana mabaya ili waanze kucheka natamani niwakoe ujue binadamu kufurahia kilio cha binadamu mwebzio ndo uchawi wenyewe na hizi roho tunazo sana wanawake na wanaume km mabinti