Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,902
Aya Mambo Ya Kuanikana Kuanikana Humu
Badae Tutakuja Shikana Mashat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya Mambo Ya Kuanikana Kuanikana Humu
Badae Tutakuja Shikana Mashat
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
[emoji23] [emoji23]Aya Mambo Ya Kuanikana Kuanikana Humu
Badae Tutakuja Shikana Mashat
Jf yupo siku nyingi ila hii akaunt ndio mpya... mbona easy tu... lol
Ipi hiyooo.... hebu nitonye na mie.... lolDu!!! Kweli Christmas imebakiza week moja naanza kuona dalili
Oyoooooooooooo, kwenye kamati naomba niwepo,Aiseeeeee siku zote unajua kuni surprise dear !!!.
Kinachonimaliza ni uwezo wako wakua wazi na kutambua mchango Wangu toka siku yakwanza tuliposhikana mikono !!.
Yakuongezea ninayo mengi namapya LKN kwasasa mapenzi yangu kwako nayaweka katika matendo tu.
Unagombana na nduguyo kisa Muarabu na Muisrael, huu ni ujinga uliopitiliza!Umenena ukweli. Hawa ni vibaraka wa mwarabu wanaotaka kutuingiza kwenye mtege wa kitoto ili nao tuwashabikie. Akili zao za kitoto sana. Alipoanza kuandika tu nilijui kuwa ni jamaa wale wa kuvaa makanzu ( Vibaraka vyam mwarabu) na propaganda zao.
Hyo tabia ya kusifia sifia wanaume zenu imewagharimu wengi sana. Take care, kuna wenzio humu hawajawahi kufurahi tangu wameletwa kwenye uso huu wa Dunia hii. Unavyowatamanisha hivi mwishowe wanakwenda kumtia majaribuni mwandani wako.Hallo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Jomoniii mnisamehe bure napopata muda kama hivi naleta mrejesho kwenu wana JF .Ni kuhusu mahusiano yangu na Mr Putin niliyekutana nae humu Jf.
OK nafurahia sana na nainjoi mapenzi yangu na mwanaume huyu niliyokutana nae huku JF mwanaume kwenye kila aina ya vigezo vya kunimiliki mwanamke kama Mimi.Sina nachopungukiwa tangu niwe naye unajua kunifanya nijihisi mwanamke aliye kamilika...Aiseee kuna wanaume wanajua kushow loveee jamaniiiii mpaka najihisi malaika now..Asante mungu kunikutanisha huku na mwanaume wa ukweli unaenjua mwanamke unataka nini na kwa wakati upi.
Umeongeza furaha Mara dufu kwenye maisha yangu na kunifanya nijione mwanamke niliyekamilika.Sijutii kukufahamu naridhika na huduma zako,Utanashati wako,unavyojua kunishauri mambo mema mwisho kabisa unanimalizaaaa kwenye mambo yetu yaleeee....uwiiiii yelewiiiii acha niishie hapa.
Kifupi sijawahi kujutia kukufahamu,Sijawahi kujutia mapenzi yako kwangu.
From to Mima wa Vladmirovich putin
Duuhn[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mbona hata me ni wangu jaman Putin ndio kaamua kutufanyia hivi
Hongera yako wewe uliyejaliwa za kuvukia balabala
Njoo nikupe bure hata hizo za kuvukia usijegongwaHongera yako wewe uliyejaliwa za kuvukia balabala
We mwenyewe hazijakutimia ushanisurika Mara kibao kugongwa na gari unipunguzie Mimi ubaki nani hebu nipisheee mieeeNjoo nikupe bure hata hizo za kuvukia usijegongwa
Mkuu nimekukubali....grt thinkerMhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Si umesema Nina za kuvukia VP? Tena kunusurika Nina mashaka na ubongo wakoWe mwenyewe hazijakutimia ushanisurika Mara kibao kugongwa na gari unipunguzie Mimi ubaki nani hebu nipisheee mieee
Hizo hizo zankuvukia Barbara ulizo nazo hazijatimia vizuri piaSi umesema Nina za kuvukia VP? Tena kunusurika Nina mashaka na ubongo wako
Kwa kuwa we ndiye uliyesema Nina za kuvukia nipe ulichokiona wewe ambacho kimepungua.Hizo hizo zankuvukia Barbara ulizo nazo hazijatimia vizuri pia