Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Nimeliwaza sana hili pia
 
Unagombana na nduguyo kisa Muarabu na Muisrael, huu ni ujinga uliopitiliza!

Hyo tabia ya kusifia sifia wanaume zenu imewagharimu wengi sana. Take care, kuna wenzio humu hawajawahi kufurahi tangu wameletwa kwenye uso huu wa Dunia hii. Unavyowatamanisha hivi mwishowe wanakwenda kumtia majaribuni mwandani wako.

Kwa taarifa yako adui wa demu ni demu mwenzie. Leo hii ukiingia inbobo kwa hyu Putin wako watu washam DM hadi bhaas. Na lazima aachie. Ssi wanaume huwa haturembi, tunabakwa kirahisi sana.

Binasfsi mm nishabakwa sana na marafiki wa madem zangu na sababu kubwa ni hzi sifa za kijinga! Kama jamaa yako anakupa raha baki nayo rohoni mwako. Ukiwatangazia mashostito ni lazima wakulize, shemeji nyingi sana na mwisho wake wanazima taa! Wee kalagabaho.
Hapana mkuuu !!! Unless uwe mpigaji tu.
 
Oyoooooooooooo, kwenye kamati naomba niwepo,
lakini usisahau ile kizuri kula na nduguyo yakheeee..... [emoji3]lol.
Hahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chizi kweli weweeeeeee .nitaku[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji378] [emoji378] [emoji378] [emoji378] [emoji378]
 
Jf yupo siku nyingi ila hii akaunt ndio mpya... mbona easy tu... lol
Pachaaa ....watu wabishi sanaaa !!!!

Accepting the reality imekua taaaabu kweli kweli !!!.

Aka kamchumba ketu ,, kamo humu kwa kwamuda ,,, na ID yake ilopita nikaipiga marufuku .

Sasaizi tupo namaraha yetuuuu......Nilichogundua ,wanataka waambiwe na ID yazaman ili wakafunyue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapa no room for Umbeyaaa.
 
Hehehehehe nimependa hapoooo, "No room for Umbeyaaaaaaa" lol.

Watu wafukunyuku sana jipe raha pacha anguuuuuu.
 
Hallo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Jomoniii mnisamehe bure napopata muda kama hivi naleta mrejesho kwenu wana JF .Ni kuhusu mahusiano yangu na Mr Putin niliyekutana nae humu Jf.

OK nafurahia sana na nainjoi mapenzi yangu na mwanaume huyu niliyokutana nae huku JF mwanaume kwenye kila aina ya vigezo vya kunimiliki mwanamke kama Mimi.Sina nachopungukiwa tangu niwe naye unajua kunifanya nijihisi mwanamke aliye kamilika...Aiseee kuna wanaume wanajua kushow loveee jamaniiiii mpaka najihisi malaika now..Asante mungu kunikutanisha huku na mwanaume wa ukweli unaenjua mwanamke unataka nini na kwa wakati upi.

Umeongeza furaha Mara dufu kwenye maisha yangu na kunifanya nijione mwanamke niliyekamilika.Sijutii kukufahamu naridhika na huduma zako,Utanashati wako,unavyojua kunishauri mambo mema mwisho kabisa unanimalizaaaa kwenye mambo yetu yaleeee....uwiiiii yelewiiiii acha niishie hapa.

Kifupi sijawahi kujutia kukufahamu,Sijawahi kujutia mapenzi yako kwangu.

From to Mima wa Vladmirovich putin
Hakuna malaika mwanamke... Malaika wote ni wanaume....
Malaika hayuko weak kama binadam... Ushauri wangu muache kufananisha vitu vyenye athiri ya dhambi na vitakatifu....
 
Nakataka ndioooo..... nitambulishe basi ili hata ukisafiri pacha ako na cover uwepo wako [emoji4][emoji4][emoji13] [emoji13]
Hayaaaa ,,embu ukishatoka kule kwa baby akooo..

Tukutane nikutambulishe ,,ila weweeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha weeeeeeee[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]
 
Pachaaa ....watu wabishi sanaaa !!!!

Accepting the reality imekua taaaabu kweli kweli !!!.

Aka kamchumba ketu ,, kamo humu kwa kwamuda ,,, na ID yake ilopita nikaipiga marufuku .

Sasaizi tupo namaraha yetuuuu......Nilichogundua ,wanataka waambiwe na ID yazaman ili wakafunyue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapa no room for Umbeyaaa.
Kabisaaaa 🙂🙂 ''no room for umbea''' nimechekaaaaa
 
Hallo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Jomoniii mnisamehe bure napopata muda kama hivi naleta mrejesho kwenu wana JF .Ni kuhusu mahusiano yangu na Mr Putin niliyekutana nae humu Jf.

OK nafurahia sana na nainjoi mapenzi yangu na mwanaume huyu niliyokutana nae huku JF mwanaume kwenye kila aina ya vigezo vya kunimiliki mwanamke kama Mimi.Sina nachopungukiwa tangu niwe naye unajua kunifanya nijihisi mwanamke aliye kamilika...Aiseee kuna wanaume wanajua kushow loveee jamaniiiii mpaka najihisi malaika now..Asante mungu kunikutanisha huku na mwanaume wa ukweli unaenjua mwanamke unataka nini na kwa wakati upi.

Umeongeza furaha Mara dufu kwenye maisha yangu na kunifanya nijione mwanamke niliyekamilika.Sijutii kukufahamu naridhika na huduma zako,Utanashati wako,unavyojua kunishauri mambo mema mwisho kabisa unanimalizaaaa kwenye mambo yetu yaleeee....uwiiiii yelewiiiii acha niishie hapa.

Kifupi sijawahi kujutia kukufahamu,Sijawahi kujutia mapenzi yako kwangu.

From to Mima wa Vladmirovich putin
Sasa hujui unazibia wengine? Au ameshakuoa? Kama bado msifie akiwa Mme wako maana hiyo sio nzuri unapojitangaza hivyo.
 
JF bana ..akiwa Bold na Nipha [emoji818]
Akiwa Ivuga na ina[emoji818]
Akiwa Daby na nanii[emoji818]
Akiwa Sky na Aspirin[emoji818]
Akiwa smart na mahondaw[emoji818]

Yoooooooomaaaweeeeeeeeeeee!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hujui tu
Nadhani the last one you are mistaken mkuu teeinaaa. wacha nisiseme mengi just only for my one and only king Smart911
Nampenda namuheshimu namsikiliza na kumuelewa sanaa Smart wangu
 
Back
Top Bottom