Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Weeeeeeeeeeee acha kabisa mkuu achaaa. Sema saivi kidooooooooooogoooo tumepumzika sijui ni kwakua I was offline kwa muda. Napo binadamu hawana jema kabisaaa hawana jemaaaa hawaishiwii. Kipindi cha cc cc cc cc cc walikua wanakerekaaaa wanamind kinoma noma.Daahhhhh Mkuuu bora yenu ,,hamuambiwi Multiple ID ...duuuhhh nataman hili jini LA multiple ID lihamie kwenu nasisi tupumzike !!.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]
Nikawa offline almost four months napo hawakukosa cha kusemaa hawa viumbe hawa mahondaw wako yuko wapi mahondaw wako yuko wapi vipi ushampotezeiya ama?? Hatumuoni blah blah kibaooo.
All the scandal jumla na rejareja nilikua nazipataaa vizuri mnooooo yaniiii
Kuna watu walikua wanamdiss smart wangu live live walimwita majina ya Kila aina walisema maneno ya kila aina walimtukana sanaa haaaaa eti leo hii Omg...
Am sorii my one and only king Smart911 [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]