Penzi ndani ya basi

Penzi ndani ya basi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.

Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.

Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.

Miaka hiyo barabara ilikuwa ni ya vumbi, kwahiyo ilitulazimu kuingia Mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.

Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila hata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.

Ila kwa ujumla niliona aibu sana.

Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.​
 
Daaa!, waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.

Daaa 😆😆😆😆😂😂👋🏾!.
Ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu?
 
Back
Top Bottom