Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Tulikuwa tumekaa viti vya nyuma. Nikawa nachezea mapaja mpaka ikulu, ndyo ikawa hvyo safari nzima. Watu wakigeuka natulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo stori imekufundisha nini mjukuu wangu?Equation x kumbe babu....Ila bado unadai si eti eeeh
Hilo swali litajibiwa na based on my true story yangu mwaka 1989 nikitoka Mwanza kwenda Dar kwa njia ya gari Moshi.Ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu?
Shetani anasingiziwa kila kukicha.🙆🙆Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.
Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.
Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.
Miaka hiyo barabara ilikuwa ni ya vumbi, kwahiyo ilitulazimu kuingia Mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.
Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila hata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.
Ila kwa ujumla niliona aibu sana.
Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.
TunaisubiriHilo swali litajibiwa na based on my true story yangu mwaka 1989 nikitoka Mwanza kwenda Dar kwa njia ya gari Moshi.
Shetani anasema, ukimuabudu anakupa mali zote za duniaShetani anasingiziwa kila kukicha.🙆🙆
Mhhh mhhh mhhh.Shetani anasema, ukimuabudu anakupa mali zote za dunia
Ndio ukweli ulivyoMhhh mhhh mhhh.
Sawa mkuuNdio ukweli ulivyo
Nimecheka sana[emoji23][emoji23]Daaa!, waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.
Daaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji1480]!.
Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.
Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.
Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.
Miaka hiyo barabara ilikuwa ni ya vumbi, kwahiyo ilitulazimu kuingia Mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.
Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila hata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.
Ila kwa ujumla niliona aibu sana.
Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.
😂😂😂Mleta mada utafika mbinguni umechoka Sana,nimependa hapo ulivyostukiwa ukajitia umelala😁
😂😂😂Hawa ndo wazee? 77 years? Aisee tumepigwa sana
Uzee ni hekima na pia kujiheshimuImepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.
Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.
Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.
Miaka hiyo barabara ilikuwa ni ya vumbi, kwahiyo ilitulazimu kuingia Mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.
Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila hata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.
Ila kwa ujumla niliona aibu sana.
Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.
Unalinda heshima ipi mkuu, wakati tiunaelekea kaburini?Uzee ni hekima na pia kujiheshimu
Mengine yafiche kwenye fundo la moyo ili kulinda heshima yako ya badae
Toa sababu kuu tatuUnga huu uzi kule kwa rik boy
Hapana uzee ni maisha hatutakufa bali tutaishi .Unalinda heshima ipi mkuu, wakati tiunaelekea kaburini?