People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

Raila aking'atuliwa toka siasa humu nchini, Kenya will be greater than any other African Country.
 
Failure to do an Election in any Polling Center or Polling Station nullifies an Election. There is no need to waste the Kenyan tax-payers money
Ndio nashangaa na hutu tumtu ....hawasomi constitution ni kuzisha tu....eti leta kura smh!! Hawajui tusha wakaba hakuna wanakoenda
 
Well
Wewe bishana sina time ya kujibizana na ma psychophant!!
Mnasema vitu kishabiku tu but hamjui mkisemacho......the only option you have is to cause violence to prevent iebc opening polling stations which it's an election offense and I don't think government can entertain that
 
Ukabila itakumaliza.
Unazungumza as if uhuru ni ndugu yako.
Thank you for seeing this!!!!

Mtu mkabila just search his name and Raila uone results !!!...

Utashanga amejaa chuki tu!!
 

Siku zote mimi huongea ukweli bila ushabiki, Wakenya kawaida huwa tunapendana sana, mimi binafsi nimeishi maisha ya kutokea chini kabisa, yaani kitaa wakati nikiwa kijana, maisha ya mama nitilie siku kwa siku. Niliona na kuonja upendo ambao Wakenya tunakuwanga nao kila siku, tatizo huwa plae siasa zinaingia na kutugawa, wanasiasa hupenda kutumia ulimbukeni wa wananchi kama mtaji.

Hili halina hata tofauti na Tanzania, kwenu huwa mna uchama, kwamba unakuta Mtanzania yupo sawa idara zote, lakini likija suala la uchama fahamu zinamtoka na kushabikia mlengo wake, atatumia nguvu nyingi sana kupindisha kila kitu ilmradi chama chake kionekane ndicho. Sasa tatizo hilo kwetu lipo kiukabila, yaani wanasiasa wanatugawa kwenye misingi ya kikabila.

Nafikiri hii picha hapa inaweza kukuonyesha kwa kifupi ninachokisema, kwamba watu kutovumiliana kisa siasa, hapa jamaa wa CHADEMA Tanzania anapigwa kwa mawe na matofali kama mwizi na wafuasi wa chama chako cha CCM kisa tu wametofautiana kimtazamo.

 
Ati majority!
As a kikuyu naamini Raila ndio dawa ya ukabila kuisha kenya,mmekuwa brainwash na wanasiasa sana hadi mnasahau ukweli.
Yah minority are the one's pushing the agenda(infact it's only apart of nyanza)
 
Yeap kama kuwa opposition burundi
Pambana na hali yako kijana
mambo yasiyo na faida yanakupotezea Muda!
Kwa Akili yako hilo linawezekana kweli!
kama sio ukichaa na Upopoma wa kukosa kazi zakufanya!!
 
CaseStudy Siaya County my fren. where Orengo got 99% of the votes cast and NASA got 98%. Kumbuka Orengo never campaigned and he never put up a campaign poster
 
Raila aking'atuliwa toka siasa humu nchini, Kenya will be greater than any other African Country.
That as most of you jubilee supporters dont get to understand is your own position...
You and few i get are not psychos but you need to know that that statement you just made is Jubilees position not Kenyas position!!!!

Mlisema hayo juu ya Tom mboya

Mkauwa Tom mboya mkidhani sasa mumewazika wajaluo .....

The opposite happened mlipea jaramogi na Raila nguvu....

Sasa mnasema hivi tena well guess what Babu owino will or any other person Orengo Nyong'o will rise

Alafu mtaanza kusema shida ya kenya ni huyu akitolewa Kenya itakuwa poa....finaly you will realise just like most Kikuyus are saying shida Ni wajaluo wakitolewa Kenya kutakuwa poa guess what opposition Kisii vote alone is twice total number of registered people in Kisumu!!!

That is what most of you dont get .....its not Jaluos Alone!!!!
It has never been!!!. .just that their leaders are outspoken and have a wider scope in Mind while Luhya Kisii Mijikenda Kamba Taita and Masai leaders have A local scope in Mind!!!


Go to western kenya uone mahali kama kilgoris Narok county
Masais Kales Jaluos Kisiis and luos live together share names inter marry and share their lands
That is same in Bomet east Sotik Kisumu North near Kakamega Migori- also include Kuria here ...

Mnaona hizi tribes zikiwapa small support outside their turfs mnadhania ni kila mtu sasa anasupport Uhuru ispokua wajaluo

Noooo!!
 
True .....this here is the truth MK254 huwa na level head!!
 
Pambana na hali yako kijana
mambo yasiyo na faida yanakupotezea Muda!
Kwa Akili yako hilo linawezekana kweli!
kama sio ukichaa na Upopoma wa kukosa kazi zakufanya!!
Sawa mrundi muislamu ..mi get where you come from!!!
 
Sherehekea wakati watu wanauliwa. But one day the wind will change direction
 
lakini mtazamo huu unafaa kwa mstakali wa Kenya??
Aaah, ni swali gumu sana kulijibu, ila tatizo la Kenya lilitokana na mzee Jommo Kenyatta kushindwa kuwa na maono au lengo la kujenga taifa la Kenya, alidhani wananchi watakuwa kitu kimoja automatically bila kufanya juhudi za makusudi za kuwaleta pamoja, matokeo yake ndio haya tunayoyaona sasa. Jambo la kushangaza wananchi wengi wa Kenya wanaishi maisha ya nadharia sana kwa kujifanya hali hii ya mgawanyiko haipo ni maneno tu ya watu wasioipenda Kenya, wanajidanganya kufuata demokrasia sawa na nchi zisizo na matatizo ya ukabila, walipaswa kuchagua mfumo wa demokrasia ambao ungetilia maanani ukabila wao na kuingiza katika katiba yao ili kuongoza nchi, kwa mfano huku Tanzania tulipoungana na Zanzibar, tulitengeneza katiba ambayo ilitilia maanani utofauti huo wa Tanganyika na Zanzibar, tukafanya kwamba urais uwe ni wakupokezana kati ya Bara na Zanzibar, hatukujidanganya kama wanavyojidanganya wakenya kwa kusema, mtu yeyote agombee tu bila kujali tofauti zilizopo ndani ya nchi, eti kw kigezo cha demokrasia ndiyo inataka hivyo, huko ni kujidanganya, kwa sababu makundi yanaidadi tofauti ya watu, kuna baadhi ya jamii hazitokaa ziongoze milele, kama watu hawajali tofauti zao kama huku Tanzania, hilo sio tatizo, lakini kwa nchi iliyogawanyika kama Kenya, ni lazima kuwa mfumo wa makusudi wa kuhakikisha kila kabila lina uhakika kuna siku watatawala nchi, hata kama ni baada ya miaka mia mbili ijayo, watakuwa wanajiona nao ni raia sawa na kabila lingine lolote nchini, ila kwa sasa, mtaita ana uhakika hata baada ya miaka elfu moja hawezi kuwa rais wa Kenya, njia pekee ni kujitenga ambako huko kunaweza kuwahakikishia nafasi ya kupata kuwa rais.

Kwa kifupi Kenya ni lazima ichague kati ya haya mawili
1)Iweke sheria ya kupokezana nafasi ya urais na makamo rais kufuata makabila, hii itaifanya Kenya iendelee kuwa nchi moja
2)Nchi igawanywe kama inavyopendekezwa na baadhi ya wakenya
 
I agree with you!!...shida kwangu hata sio makabila mawili kuwa viongozi for so long ...shida ni they continually benefit their own disregarding the rest of the country....enda areas kama western utaona watu ndio wamejizatiti na kujenga ma hospitali, hakuna mabenki ni ma sacco, hata milk processors ni personal ...na ile project moja watakuja wafanye ya serikali wataakikisha wamechanganya wenueji kwa kununua viongozi wao kabisa.....wamefanya nchi ikae kana kwamba kila post ya serikali ni favour kwa hilo jamii ambalo limechangia muhusika ....wanaenda kuria wanasema eti "tupe kura tutaketa jeshi lije kuchagua vijana wenu hapa" wanaenda mombasa wanaambia walipa kodi kwa county eti msilipe county kodi wamewapa ruhusa ili tu wachanganye watu ndani and that is not fair ....wanajenga daraja hafifu alafu wanakuja wanasema "ona viongozi wenu wamekuwa hapa hawajawai ona wajenge hili daraja. Sasa tumewajengea mtupe Kura" ....sio kazi ya mbunge kujenga daraja ni kazi ya serikali kuu...mbunge ni kuwasilisha maslahi ya wakaazi wake bungeni!!!...
Sasa wanapea county zao pesa tu wananyima county za upinzani pesa ya ku run daily activities ...alafu wataenda waanze kutumia hiyo power yao to their advantage

Raila kuwa mbunge wa kibra hana uwezo wa kujenga kibra ni kazi ya serikali kuijenga.....lakini watakaa serikalini wavunje ile mpango wa Raila wa Slun upgrades process alafu waanze kusambaza lord of poverty propaganda kwa eneo zake ilikuchanganya watu!!!.......

Mm sina shida hata wakieka mkikuyu for the rest of the years in will be alive just ensure he developes kenya equally enda central kenya uone viwanda kila kona
Milk
Epz
Processors
Real estate
Roads
Evrything .....rudi turkana ama uluhyani
Kuna viwanda mbili za maana
Webuye Pan paper
Na mumia sugar zote ziko in wrangles .
.
.
.rudi central uhesabu number of universities
Chuka
Mku
Kemu
Riara
Methodist
St paul
Kenyatta
Jkuat
Hata UoN iko 30mins from Kikuyu
Rudi western ambapo kuna 17mn people
Maseno
Musst
Rongo
Kisii university
Kabianga all of this ziko atleast
100km away from each other
 
Jadili mada husika
hahaha
Kunavitu ukiwa na Akili havitaweza kukusaidia
au tatizo Umli!!
Maana kuzaliwa miaka ya 1990+ Nitatizo bado kukomaa kiakili
mnabaki kufuata Mkumbo tu
Vibendera fuata upepo
I think am older than you!!!
Also richer but that is not the issue here lakini nimekupata mkuu
 
Maoni mazuri sana
lakini hiki kizazi cha vibendera cha mfano wa kitoto hiki Sammuel999 ningumu kuelewa ushauri huu
 

Ona unavyo lialia
!
Wewe kijana utulize papara unajua Tatizo una papara kama mjenzi wa Minara.
 
Secondly
Most people in central Kenya in 1997 after the second post election violence especially in Laikipia were openly asking for seccession

Moi aliwakalia wote sambamba


Wakati huu wamesahau kabisa kilicho wakumba juu wana uongozi mkononi mwao!!! Itabadilika it always changes

Namtajuta tu!!!...the only proble is that Kenya wont be there mtakuwa nchi yenu mnateswa na watu wenu...


MOTOCHINI my anti jubilee issues arent unfounded!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…