People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

Eish ,sasa tuwafunze watu wazima kufanya bidii,kujipanga kibiashara na kuweka mawazo ya kujiinua kiuchumi na hawataki ama hawana zile mila za kimaendeleo? Amini usiamini ,hawa watu wanajitakia umaskini wenyewe na pia wanaona viongozi wenye sera za umaskini ndio bora kwao. Poverty is one's own conscious choice hatuwezi kumlazimisha mnyama anywe maji mtoni kama hana ari ya kunywa.
 
Hapana ninamaanisha mfumo utakaoweza kutua nafasi kwa kila jamii kuweza kuwa rais hapo Kenya, ungefuatilia maelezo yangu kule nyuma nilisema kwamba tofauti za kikabila hapo Kenya, zinasababisha baadhi ya makabila kutokana na uchache wao kutoweza kuongoza nchi, na uchumi wa Kenya ulivyo umeshikamana na nafasi za kisiasa, ni kama ulivyokuwa uchumi wa makaburu kule South Africa, hili hampaswi kulikataa wala kulipuuza, nchi kama Kenya ambapo ukabila na rushwa vimetapakaa, lazima watu waliopo kwenye uongozi wa kisiasa watawapendelea jamaa zao, ili kupunguza hali hii lazima kuwepo na mfumo wa kuhakikisha kila kabila lina uwezekano wa kuongoza nchi.
 
Huo ndio ukweli kamanda, tatizo limeanzia hapo, sikiliza clip ya Nyerere imewekwa na Mwanzi1 in this same thread, Nyerere adviced your leader, he ignored.
Sasa nakushangaa unavosema Tz is ailing luo / nyanza wakati shida ni nyinyi wenyewe. Pumbav
Hehehe sasa kama nyinyi wenyewe hamjaweza kutatua shida za LCD yenyu, yetu combined na hiyo yenyu ingekua balaa tupu. Tatueni yenu ili iwe kielelezo chema kwa wengine but for now just Shut the https://jamii.app/JFUserGuide up.
 
Hehehe sasa kama nyinyi wenyewe hamjaweza kutatua shida za LCD yenyu, yetu combined na hiyo yenyu ingekua balaa tupu. Tatueni yenu ili iwe kielelezo chema kwa wengine but for now just Shut the **** up.
Sisi ni watu wastaarabu hatuishi maisha kama ya wanyama, swala hawawezi kuishi pamoja na fisi, maisha ambayo ukiamka asubuhi huna uhakika kama utafika jioni au askari atakupiga risasi na asichukuliwe hatua yoyote, hayyo ni maisha ya porini, insecurity and uncivilized life.
 
Hehehe sasa kama nyinyi wenyewe hamjaweza kutatua shida za LCD yenyu, yetu combined na hiyo yenyu ingekua balaa tupu. Tatueni yenu ili iwe kielelezo chema kwa wengine but for now just Shut the **** up.
Hahaha,sisi tunakubali hali yetu ni LDC,ukweli ni kwamba,baada ya muda,tutatoka kwenye LDC,lakini nyinyi ukabila na njaa havitawaacha MILELE.
 
Peoples reuplic without kisii,nyamira, rift valley and central haiezi make ata mwaka mmoja.mtakula nini surely?hamna ukulima luo nyanza, western ni miwa tu na mahindi,ukambani ata usiseme na coast na ukulima ni kama usiku na mchana
 
Those are our Confederates. it doesn't mean that it will happen. They are just exercising their constitutional rights. There is nothing wrong with that
 
Kama sisi niwanyama mbona mnashughulika saaaaaaaana na wanyama?
 
Sasawewe ni mnyama yupi?
Mimi ni binadamu mwenye utu nisiyeendekeza ubaguzi, sifa kubwa ya wanyama ni kushindwa kuishi pamoja kwa upendo, kamwe haitowezekana chui kuchanganyika na simba, japo wote ni jamii ya paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…