People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

Mimi ni binadamu mwenye utu nisiyeendekeza ubaguzi, sifa kubwa ya wanyama ni kushindwa kuishi pamoja kwa upendo, kamwe haitowezekana chui kuchanganyika na simba, japo wote ni jamii ya paka
Nitajua aje una utu?
 
Hehehe sasa kama nyinyi wenyewe hamjaweza kutatua shida za LCD yenyu, yetu combined na hiyo yenyu ingekua balaa tupu. Tatueni yenu ili iwe kielelezo chema kwa wengine but for now just Shut the **** up.
Pu$$y a$$ turudi kwenye hoja, why you accusing us of aiding luo/ nyanza. Got proofs? That is provocative, haina tofauti na US anafanya kule Korean peninsula.
Looks like your ethnics is looking for something from Tz. We waay too big buddies. Fix your shit by yourselves we're a non aligned nation worldwide and regionally.
 
Hivi Lissu ni nyati na simba ni nani?
Lisu alijeruhiwa tu, hadi sasa watu karibia 70 wameuliwa wengine watoto wachanga kwa kupigwa marungu na polisi, huyo hapo ni mwanafunzi wa sekondari, unyama huu utaisha lini?,
 
Nitajua aje una utu?
Utajua kwa sababu neno Tanzania maana yake ni UTU, japo wapo wachache wanataka kutuchafulia utu wetu, lakini ninakuhakikishia, sisi ni watu wenye utu wa hali ya juu sana
 
Tundu Lissu ni utu?
Yaulize haya majitu wakati yanachinja na kutafuna albino bila huruma wao huwa ni wanyama gani, maana dunia yote Tanzania ndio inaongoza kwa kutafuna hao albino.
 
Yaulize haya majitu wakati yanachinja na kutafuna albino bila huruma wao huwa ni wanyama gani, maana dunia yote Tanzania ndio inaongoza kwa kutafuna hao albino.
Se connecter à Facebook | Facebook

Acha kujitetea, wauwaji wa albino ni majambazi sio serikali, kama tutahesabu watu wanaouliwa na criminals hapo Kenya idadi inaweza kufika 50 per day, hata hivyo mauaji ya albino imekua historia, acheni kujitetea, badilikeni muishi kama binadamu wengine, huu unyama wenu wa police killings with impunity must stop if you have to join a civilized word, for the moment you are very far to achieve that status
 
Reactions: Oii

Halafu sijui huwa nani aliwadanganya kwamba mkila albino ndio utajiri, huo ni ujinga. Na utafunaji wa albino kwenu hutokea sana wakati wa kampeni, hivyo itakua ni zoezi linaloongozwa na viongozi wenu kama sera, maana siku zingine za kawaida hamuwachnji hao maskini.
 
Acha kukimbia ukweli, hata awe ni nani anayeagiza, lakini hao ni majambazi kama ulivyo ujambazi mwingine, hapo Nairobi kila siku watu wanauliwa na majambazi wakiwemo polisi, huo ni uhalifu ambao serikali inajaribu kupambana nao, hilo linaeleweka, lakini polisi wanapouwa watu wasio na hatia bila polisi kuchukuliwa hatua, huo ni unyama, yaani polisi wakiwaona wakenya machoni wanahisi wapo porini wanawinda wanyama, hivi roho za kinyama unazitoa wapi?
 
Reactions: Oii

Tatizo mnatafuta hadi watoto, ukitembea Tanzania unakutana na watoto albino wasiokua na mikono, mara nyingi mkiona mnakata viungo na kukimbia navyo. Ni vigumu kukutana na albino aliyekamilika na viungo vyote Tanzania, nyie hatari zaidi ya wanyama.
 
Tabia hiyo ya kutokubaliana na ukweli badala yake kujiliwaza kwa kujipa matumaini yasiyokuwepo ndiyo kumeifikisha Kenya hapo mlipo, nchi haikaliki na mnaanza kuigawa vipande viwili, sisi tulikubaliana na tatizo la mauaji ya albino, tukatafuta ufumbuzi, tumelimaliza, mauaji ya Kibiti tukakabiliana nayo pia tumeyamaliza, huko kwenu hakuna tatizo hata moja mlilomaliza, badala yake ndiyo yanaongezeka, mauaji katika jamii za wafugaji, police killings, political assassinations, wakora Nairobi, mauaji ya waandamanaji...hivi hiyo ni nchi gani?.. huna uhakika kama utarudi home safely jioni
 
Mbona unakataa ukweli kwamba wewe hapo ni mtafunaji wa albino, hayo mainsha yako hata siyasomi, nataka uache tabia hiyo ya kutokua na huruma kwa albino, roho nyeusi kumzidi hata ibilisi.
 
Mbona unakataa ukweli kwamba wewe hapo ni mtafunaji wa albino.
Nani amekataa?, ila tatizo limekwisha sasa hivi, huko ndiyo kila siku mnaendelea kuongeza matatizo... kiukweli hamstahili kukaa na watu civilized
 
Nani amekataa?, ila tatizo limekwisha sasa hivi, huko ndiyo kila siku mnaendelea kuongeza matatizo... kiukweli hamstahili kukaa na watu civilized

Waonee albino huruma jameni...kwanza mnawachinja wakati wa kutafuta kura
 
Waonee albino huruma jameni...kwanza mnawachinja wakati wa kutafuta kura
Huna hoja, endeleeni kuchinjana hapo kesho maandamano yatakapoendelea tena... sawasawa na wanyama wa porini kila siku kuuana..bure kabisa nyie
 
Huna hoja, endeleeni kuchinjana hapo kesho maandamano yatakapoendelea tena... sawasawa na wanyama wa porini kila siku kuuana..bure kabisa nyie

Nyama ya albino ni binadamu kama wewe, nafikiri Nyerere alishasema ukila nyama ya huachi, ndio imewashinda kuacha.
 
Nyama ya albino ni binadamu kama wewe, nafikiri Nyerere alishasema ukila nyama ya huachi, ndio imewashinda kuacha.
Kama ambavyo mnavyotafuna nyama ya Jaluo, hivi kilo moja ya nyama ya Jaluo bei gani?, siku hizi kikuyu hamchinji tena Ng'ombe, business community ya Nairobi imejaza nyama ya jaluo kwenye butchery zao[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…