joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Se connecter à Facebook | FacebookSasawewe ni mnyama yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Se connecter à Facebook | FacebookSasawewe ni mnyama yupi?
Hivi Lissu ni nyati na simba ni nani?Se connecter à Facebook | Facebook
Hivi kweli binadamu anaweza kumfanyia binadamu mwengine unyama huu?, hii inatokea pale tu simba akimshambulia nyati ili amtufune
Nitajua aje una utu?Mimi ni binadamu mwenye utu nisiyeendekeza ubaguzi, sifa kubwa ya wanyama ni kushindwa kuishi pamoja kwa upendo, kamwe haitowezekana chui kuchanganyika na simba, japo wote ni jamii ya paka
Pu$$y a$$ turudi kwenye hoja, why you accusing us of aiding luo/ nyanza. Got proofs? That is provocative, haina tofauti na US anafanya kule Korean peninsula.Hehehe sasa kama nyinyi wenyewe hamjaweza kutatua shida za LCD yenyu, yetu combined na hiyo yenyu ingekua balaa tupu. Tatueni yenu ili iwe kielelezo chema kwa wengine but for now just Shut the **** up.
Lisu alijeruhiwa tu, hadi sasa watu karibia 70 wameuliwa wengine watoto wachanga kwa kupigwa marungu na polisi, huyo hapo ni mwanafunzi wa sekondari, unyama huu utaisha lini?,Hivi Lissu ni nyati na simba ni nani?
Utajua kwa sababu neno Tanzania maana yake ni UTU, japo wapo wachache wanataka kutuchafulia utu wetu, lakini ninakuhakikishia, sisi ni watu wenye utu wa hali ya juu sanaNitajua aje una utu?
Tundu Lissu ni utu?Utajua kwa sababu neno Tanzania maana yake ni UTU, japo wapo wachache wanataka kutuchafulia utu wetu, lakini ninakuhakikishia, sisi ni watu wenye utu wa hali ya juu sana
Yaulize haya majitu wakati yanachinja na kutafuna albino bila huruma wao huwa ni wanyama gani, maana dunia yote Tanzania ndio inaongoza kwa kutafuna hao albino.Tundu Lissu ni utu?
Kisumu ipewe mu7
Se connecter à Facebook | FacebookYaulize haya majitu wakati yanachinja na kutafuna albino bila huruma wao huwa ni wanyama gani, maana dunia yote Tanzania ndio inaongoza kwa kutafuna hao albino.
Se connecter à Facebook | Facebook
Acha kujitetea, wauwaji wa albino ni majambazi sio serikali, kama tutahesabu watu wanaouliwa na criminals hapo Kenya idadi inaweza kufika 50 per day, hata hivyo mauaji ya albino imekua historia, acheni kujitetea, badilikeni muishi kama binadamu wengine, huu unyama wenu wa police killings with impunity must stop if you have to join a civilized word, for the moment you are very far to achieve that status
Acha kukimbia ukweli, hata awe ni nani anayeagiza, lakini hao ni majambazi kama ulivyo ujambazi mwingine, hapo Nairobi kila siku watu wanauliwa na majambazi wakiwemo polisi, huo ni uhalifu ambao serikali inajaribu kupambana nao, hilo linaeleweka, lakini polisi wanapouwa watu wasio na hatia bila polisi kuchukuliwa hatua, huo ni unyama, yaani polisi wakiwaona wakenya machoni wanahisi wapo porini wanawinda wanyama, hivi roho za kinyama unazitoa wapi?Halafu sijui huwa nani aliwadanganya kwamba mkila albino ndio utajiri, huo ni ujinga. Na utafunaji wa albino kwenu hutokea sana wakati wa kampeni, hivyo itakua ni zoezi linaloongozwa na viongozi wenu kama sera, maana siku zingine za kawaida hamuwachnji hao maskini.
Acha kukimbia ukweli, hata awe ni nani anayeagiza, lakini hao ni majambazi kama ulivyo ujambazi mwingine, hapo Nairobi kila siku watu wanauliwa na majambazi wakiwemo polisi, huo ni uhalifu ambao serikali inajaribu kupambana nao, hilo linaeleweka, lakini polisi wanapouwa watu wasio na hatia bila polisi kuchukuliwa hatua, huo ni unyama, yaani polisi wakiwaona wakenya machoni wanahisi wapo porini wanawinda wanyama, hivi roho za kinyama unazitoa wapi?
Tabia hiyo ya kutokubaliana na ukweli badala yake kujiliwaza kwa kujipa matumaini yasiyokuwepo ndiyo kumeifikisha Kenya hapo mlipo, nchi haikaliki na mnaanza kuigawa vipande viwili, sisi tulikubaliana na tatizo la mauaji ya albino, tukatafuta ufumbuzi, tumelimaliza, mauaji ya Kibiti tukakabiliana nayo pia tumeyamaliza, huko kwenu hakuna tatizo hata moja mlilomaliza, badala yake ndiyo yanaongezeka, mauaji katika jamii za wafugaji, police killings, political assassinations, wakora Nairobi, mauaji ya waandamanaji...hivi hiyo ni nchi gani?.. huna uhakika kama utarudi home safely jioniTatizo mnatafuta hadi watoto, ukitembea Tanzania unakutana na watoto albino wasiokua na mikono, mara nyingi mkiona mnakata viungo na kukimbia navyo. Ni vigumu kukutana na albino aliyekamilika na viungo vyote Tanzania, nyie hatari zaidi ya wanyama.
Tabia hiyo ya kutokubaliana na ukweli badala yake kujiliwaza kwa kujipa matumaini yasiyokuwepo ndiyo kumeifikisha Kenya hapo mlipo, nchi haikaliki na mnaanza kuigawa vipande viwili, sisi tulikubaliana na tatizo la mauaji ya albino, tukatafuta ufumbuzi, tumelimaliza, mauaji ya Kibiti tukakabiliana nayo pia tumeyamaliza, huko kwenu hakuna tatizo hata moja mlilomaliza, badala yake ndiyo yanaongezeka, mauaji katika jamii za wafugaji, police killings, political assassinations, wakora Nairobi, mauaji ya waandamanaji...hivi hiyo ni nchi gani?.. huna uhakika kama utarudi home safely jioni
Nani amekataa?, ila tatizo limekwisha sasa hivi, huko ndiyo kila siku mnaendelea kuongeza matatizo... kiukweli hamstahili kukaa na watu civilizedMbona unakataa ukweli kwamba wewe hapo ni mtafunaji wa albino.
Nani amekataa?, ila tatizo limekwisha sasa hivi, huko ndiyo kila siku mnaendelea kuongeza matatizo... kiukweli hamstahili kukaa na watu civilized
Huna hoja, endeleeni kuchinjana hapo kesho maandamano yatakapoendelea tena... sawasawa na wanyama wa porini kila siku kuuana..bure kabisa nyieWaonee albino huruma jameni...kwanza mnawachinja wakati wa kutafuta kura
Huna hoja, endeleeni kuchinjana hapo kesho maandamano yatakapoendelea tena... sawasawa na wanyama wa porini kila siku kuuana..bure kabisa nyie
Kama ambavyo mnavyotafuna nyama ya Jaluo, hivi kilo moja ya nyama ya Jaluo bei gani?, siku hizi kikuyu hamchinji tena Ng'ombe, business community ya Nairobi imejaza nyama ya jaluo kwenye butchery zao[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nyama ya albino ni binadamu kama wewe, nafikiri Nyerere alishasema ukila nyama ya huachi, ndio imewashinda kuacha.