Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Wapumbavu wasiojua soka ni wengi kumbe. Okay ngoja nisogee kwa wanaojua sio vidampa waojidai kushabikia man city watu walioanza kujua mpira 2017/18
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni mpuuzi..!Wapumbavu wasiojua soka ni wengi kumbe. Okay ngoja nisogee kwa wanaojua sio vidampa waojidai kushabikia man city watu walioanza kujua mpira 2017/18
Duuh!utaanza kumkataa Pep kwenye match na Arsenal ze mitutuz
Inastahili kuwa nao ila sio watanzania. Utakuta jitu lina miaka 20+ alafu linakuambia eti linashabikia man city kumbe limekimbia Ass anal hukoKumbe wewe ni mpuuzi..!
Kwahiyo Man City haistahili kuwa na mashabiki..!?
Jinga sana wewe..!!!
Ahahaaaah...Inastahili kuwa nao ila sio watanzania. Utakuta jitu lina miaka 20+ alafu linakuambia eti linashabikia man city kumbe limekimbia Ass anal huko
Kwahyo Feg alivyo shinda EPL back to back kwa mara tatu aliidhalilisha EPL??????MAN CTY AKISHNDA MECH 5 ANATANGAZA UBINGWA NA PEP ATAWEKA REKODI KUBWA KWA KUIDHALILISHA EPL KUWA LIGI NYEPES KULIKO LIGI YA VPL
Mkuu una matatizo sehemu. Unataka watu wote tupende kile unachokipenda?Wapumbavu wasiojua soka ni wengi kumbe. Okay ngoja nisogee kwa wanaojua sio vidampa waojidai kushabikia man city watu walioanza kujua mpira 2017/18
Naunga mkono horaMtaishi maisha ya tabu sana Safari hii
Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA kumtingisha pep guadiola pale epl, Safari hii mpende msipende lazma muite maji mmah! Huyu ndo kocha wa dunia habahatishi kila anachokifanya ameshakifanyia utafit! One love Manchester City chama langu kila la kheri katika safari ya ubingwa 2017-2018 !!!!
Asipo beba ubingwa najitoa jamiiforums.na.sitakanyaga tena hapa,
Naona umetukimbiza hapo hora au hojaNaunga mkono hora
Hoja typing error[emoji3] [emoji3] [emoji3]Naona umetukimbiza hapo hora au hoja
kaja lini kwani?!..ndo msimu wake wa kwanza!?Kuna watu huwa nabishana nao sana. Wanaosemaga ligi ya England ndio ligi ngumu yaan huwa nabisha hadi nawakera point yangu huwa hii kama ligi ngumu ni ya England kwanini kwenye hyo ligi hamna timu ngumu??
mmoja akaja na hoja eti England timu zinatofautiana pointi 3 2 5, nikamwambia inakuwa hivo kwa sababu hakuna anayejua mpira ushahidi ni kwenye UEFA, sasahiv kinachotokea England hata Spain haijawahi tokea kwa sababu amekuja anayejua.
kivipi?MAN CTY AKISHNDA MECH 5 ANATANGAZA UBINGWA NA PEP ATAWEKA REKODI KUBWA KWA KUIDHALILISHA EPL KUWA LIGI NYEPES KULIKO LIGI YA VPL
mourinho alichukukua ubingwa baada ya muda gani tangu aje EPL Mara ya kwanza?..konte ilimchukua muda gani?..Wenger?..Ferguson aliondoka kwa kuwa ushindani ulizidi?..had spurs na man city walitishia vigogo kwa sababu ya helaCole Williams KIPINDI HKO LIGI YA EPL HAIKUWA NA TEAM ZA MAANA, NYINGI HAZKUWA KTK USHNDANI MKUBWA, LAKN PIA HAKUCHUKUA UBINGWA KWA TOFAUT KUBWA YA POINTS. LETE DATA HAPA... PIA FERGIE ALISTAAFU KUMKIMBIA GUARDIOLA BAADA YA KUMSHNDWA KTK FAINALI MBILI... 2008/9 PALE ITALY.. NA ILE YA 2010/11 ALYOTETEMEKA KAMA MGONJWA KIFAFA
.Cole Williams KIPINDI HKO LIGI YA EPL HAIKUWA NA TEAM ZA MAANA, NYINGI HAZKUWA KTK USHNDANI MKUBWA, LAKN PIA HAKUCHUKUA UBINGWA KWA TOFAUT KUBWA YA POINTS. LETE DATA HAPA... PIA FERGIE ALISTAAFU KUMKIMBIA GUARDIOLA BAADA YA KUMSHNDWA KTK FAINALI MBILI... 2008/9 PALE ITALY.. NA ILE YA 2010/11 ALYOTETEMEKA KAMA MGONJWA KIFAFA