Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

Wapumbavu wasiojua soka ni wengi kumbe. Okay ngoja nisogee kwa wanaojua sio vidampa waojidai kushabikia man city watu walioanza kujua mpira 2017/18
 
Kumbe wewe ni mpuuzi..!
Kwahiyo Man City haistahili kuwa na mashabiki..!?
Jinga sana wewe..!!!
 
Upo sawa mkuu wala huwezi kujutia hii kauli yako
 
Kumbe wewe ni mpuuzi..!
Kwahiyo Man City haistahili kuwa na mashabiki..!?
Jinga sana wewe..!!!
Inastahili kuwa nao ila sio watanzania. Utakuta jitu lina miaka 20+ alafu linakuambia eti linashabikia man city kumbe limekimbia Ass anal huko
 
Ahahaaaah...
Mtu aliyezaliwa mwaka 1996 ameaanza kuufuatilia na kuuelewa mpira wa ULAYA kuanzia mwaka 2007/2008,unataka kuniambia mtu huyu ni ajabu pia kuwa shabiki wa Man City..!?
 
Ni sawa na kuahidi kuwa Bahari ya Hindi isipokauka kesho utaku.nya pale lango Magogo.ni
 
MAN CTY AKISHNDA MECH 5 ANATANGAZA UBINGWA NA PEP ATAWEKA REKODI KUBWA KWA KUIDHALILISHA EPL KUWA LIGI NYEPES KULIKO LIGI YA VPL
 
Cole Williams KIPINDI HKO LIGI YA EPL HAIKUWA NA TEAM ZA MAANA, NYINGI HAZKUWA KTK USHNDANI MKUBWA, LAKN PIA HAKUCHUKUA UBINGWA KWA TOFAUT KUBWA YA POINTS. LETE DATA HAPA... PIA FERGIE ALISTAAFU KUMKIMBIA GUARDIOLA BAADA YA KUMSHNDWA KTK FAINALI MBILI... 2008/9 PALE ITALY.. NA ILE YA 2010/11 ALYOTETEMEKA KAMA MGONJWA KIFAFA
 
Wapumbavu wasiojua soka ni wengi kumbe. Okay ngoja nisogee kwa wanaojua sio vidampa waojidai kushabikia man city watu walioanza kujua mpira 2017/18
Mkuu una matatizo sehemu. Unataka watu wote tupende kile unachokipenda?
 
Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii
Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA kumtingisha pep guadiola pale epl, Safari hii mpende msipende lazma muite maji mmah! Huyu ndo kocha wa dunia habahatishi kila anachokifanya ameshakifanyia utafit! One love Manchester City chama langu kila la kheri katika safari ya ubingwa 2017-2018 !!!!

Asipo beba ubingwa najitoa jamiiforums.na.sitakanyaga tena hapa,
Naunga mkono hora
 
Kuna watu huwa nabishana nao sana. Wanaosemaga ligi ya England ndio ligi ngumu yaan huwa nabisha hadi nawakera point yangu huwa hii kama ligi ngumu ni ya England kwanini kwenye hyo ligi hamna timu ngumu??

mmoja akaja na hoja eti England timu zinatofautiana pointi 3 2 5, nikamwambia inakuwa hivo kwa sababu hakuna anayejua mpira ushahidi ni kwenye UEFA, sasahiv kinachotokea England hata Spain haijawahi tokea kwa sababu amekuja anayejua.
 
kaja lini kwani?!..ndo msimu wake wa kwanza!?
 
Cole Williams KIPINDI HKO LIGI YA EPL HAIKUWA NA TEAM ZA MAANA, NYINGI HAZKUWA KTK USHNDANI MKUBWA, LAKN PIA HAKUCHUKUA UBINGWA KWA TOFAUT KUBWA YA POINTS. LETE DATA HAPA... PIA FERGIE ALISTAAFU KUMKIMBIA GUARDIOLA BAADA YA KUMSHNDWA KTK FAINALI MBILI... 2008/9 PALE ITALY.. NA ILE YA 2010/11 ALYOTETEMEKA KAMA MGONJWA KIFAFA
mourinho alichukukua ubingwa baada ya muda gani tangu aje EPL Mara ya kwanza?..konte ilimchukua muda gani?..Wenger?..Ferguson aliondoka kwa kuwa ushindani ulizidi?..had spurs na man city walitishia vigogo kwa sababu ya hela
 
Cole Williams KIPINDI HKO LIGI YA EPL HAIKUWA NA TEAM ZA MAANA, NYINGI HAZKUWA KTK USHNDANI MKUBWA, LAKN PIA HAKUCHUKUA UBINGWA KWA TOFAUT KUBWA YA POINTS. LETE DATA HAPA... PIA FERGIE ALISTAAFU KUMKIMBIA GUARDIOLA BAADA YA KUMSHNDWA KTK FAINALI MBILI... 2008/9 PALE ITALY.. NA ILE YA 2010/11 ALYOTETEMEKA KAMA MGONJWA KIFAFA
.
kuna ushabiki na upuuzi,huu ni upuuzi,sikupi majibun ila ingia mitandaoni tafuta fact za fergie kustaafu km binafsi huzijui...by the way,SAF is an will be the BEST of the best coach of daaamn all till you die
 
gp1rooney HUO NI MTIZAMO WAKO AMBAO HATA MIMI NAUITA UPUUZ. PEP NDYE KOCHA BORA KULIKO FERGIE.. KAMA UNATAKA BASI TUWAPME KATKA HEAD TO HEAD.. UNAONAJE?
 
Back
Top Bottom