Pep Guardiola alikosea sana kwenda Manchester City

Ungekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
Hapana mkuu city kuizidi united fan base unaota
 
We dogo ni msenge sana sijui hata kama umeelewa ulichokiandika. Mimi mwenyewe ni shabiki wa utd lakini alichokifanya pep city na alipo ifikisha city ni mbali sana. Wapo madogo wengi sana mtaani mashabiki wa city. Alafu pia duniani huko city anaongeza mashabiki kila siku.
 
View attachment 2682773
Rekodi hiyo hapo ya mwaka 2022 mwezi wa sita yaani manchester united inaanza, chelsea halafu ndio manchester city inafuatia kwa wingi wa mashabiki uwe na tabia ya kujisomea sana

Hiyo ulioweka sio idadi ya mashabiki wote.

Bali ni mashabiki walioingia uwanjani kutazama mechi siku hiyo.

Hata yanga ama simba kuna mechi mashabiki wanajaa kwa mkapa na kuna mechi mashabiki wanakuwa wachache uwanjani kwa mkapa


Mashabiki wa timu kuwa wachache uwanjani haimaamishi hiyo timu ina mashabiki wachache hata mitaani
 
Mkuu inawezekanaje mashabiki Mil40 wakaingia uwanjani kwa wakati mmoja kutazama mechi siku hiyo wakati capacity ya uwanja wa Etihad hauwezi kubeba mashabiki wasiozidi 54k+?
 
Ungekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
Man u na Liverpool , Aseno nenda Asia, America Africa Wana mamilion ya mashabiki wewe unazungumzia jiji la Manchester. Jaribu kumuelewa kwa upana wa hoja yake. Japo kumlaumu Joseph Qudiola hlina mashiko Sana.

Sababu mpira Ni makombe na mpira wa sasa Ni pesa. Hivyo biashara.
 
Hata hapa bongo mashabiki wake Ni vichalii vidogo vilivyoikuta timu mwarabu kashainunua.
 
Wanatanua wigo wao watafika huko walipo wakubwa wengine.
 
We waga ni lijinga lijinga tu tunakujua.
 
We waga ni lijinga lijinga tu tunakujua.
 
Bora uendelee kushangalia usajili wa bongo... ya huko ulaya achana nayo utaibika bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…