Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu city kuizidi united fan base unaotaUngekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
Nazungumzia ndani ya jiji la Manchester, huenda wanalingana au City anamzidi Utd.Hapana mkuu city kuizidi united fan base unaota
We dogo ni msenge sana sijui hata kama umeelewa ulichokiandika. Mimi mwenyewe ni shabiki wa utd lakini alichokifanya pep city na alipo ifikisha city ni mbali sana. Wapo madogo wengi sana mtaani mashabiki wa city. Alafu pia duniani huko city anaongeza mashabiki kila siku.Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili
Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa mioni mwa watu kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka
Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi
Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi
Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans
. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city
KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool
Bernado silva haitaki kabisa manchester city
Rodri anapambana arudi barcelona akiondoka Pep
Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie
Cancelo aliwakimbia
Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia
Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City
Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo
Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini
Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club
View attachment 2682773
Rekodi hiyo hapo ya mwaka 2022 mwezi wa sita yaani manchester united inaanza, chelsea halafu ndio manchester city inafuatia kwa wingi wa mashabiki uwe na tabia ya kujisomea sana
Mkuu inawezekanaje mashabiki Mil40 wakaingia uwanjani kwa wakati mmoja kutazama mechi siku hiyo wakati capacity ya uwanja wa Etihad hauwezi kubeba mashabiki wasiozidi 54k+?Hiyo ulioweka sio idadi ya mashabiki wote.
Bali ni mashabiki walioingia uwanjani kutazama mechi siku hiyo.
Hata yanga ama simba kuna mechi mashabiki wanajaa kwa mkapa na kuna mechi mashabiki wanakuwa wachache uwanjani kwa mkapa
Mashabiki wa timu kuwa wachache uwanjani haimaamishi hiyo timu ina mashabiki wachache hata mitaani
Kwako siyo.Bangi mbaya sana
Man u na Liverpool , Aseno nenda Asia, America Africa Wana mamilion ya mashabiki wewe unazungumzia jiji la Manchester. Jaribu kumuelewa kwa upana wa hoja yake. Japo kumlaumu Joseph Qudiola hlina mashiko Sana.Ungekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
Hata hapa bongo mashabiki wake Ni vichalii vidogo vilivyoikuta timu mwarabu kashainunua.Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili
Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka
Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi
Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi
Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans
. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city
KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool
Bernado silva haitaki kabisa manchester city
Rodri anapambana aende barcelona akiondoka Pep
Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie
Cancelo aliwakimbia
Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia
Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City
Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo
Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini
Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club
Tatizo hujui kuwa Grealish alifit sana kwenye mfumo wa OVERLOADING wa Guardiola kuliko Foden.Huwa nasikitika grealish kuanza afu foden anakaa bench,
Huyo boya tu hajielewi.Subiri Herzog na Pain killer waje kukutolea povu.
ugolo bangi Haina mbayaBangi mbaya sana
Bora uendelee kushangalia usajili wa bongo... ya huko ulaya achana nayo utaibika bureKocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili